Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

  • Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)

    Votes: 591 23.9%
  • Willibrod Slaa (CHADEMA)

    Votes: 1,785 72.1%
  • Ibrahim Lipumba (CUF)

    Votes: 89 3.6%
  • Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)

    Votes: 7 0.3%
  • Mutamwega Mugahywa (TLP)

    Votes: 7 0.3%

  • Total voters
    2,475
  • Poll closed .
Kweli kabisa Mangi...Mama Migiro siyo kama wanawake wengi. She is scrupulous. She carries herself well...with dignity. Hata ukimwangalia tu unatamani na wewe siku upate mwanamke kama huyo. Siyo kama hawa kina Mange sijui nani...they are all over the place with gazzillion of ex's. Ukienda Facebook wako...Hi5 wako...myspace wako...Tweeter..wako...what the hell.....How will that make anyone secure? Nobody, male or female!

Uncle unanimaliza hapa sina mbavu,ngoja tuone kama Nyani Ngabu ana mawazo ya tofauti na yako.
Back to the point ni kwamba nilisema kuwa roles za mwanamme na mwanamke ni za tofauti na sisi tuna zi perceive roles hizo tofauti na ndio maana kwenye judgements tunatofautiana pia,kama inalazimu kuwa na Rais mwanamke sioni kama ni shida sana ila sidhani kama atashinda unless hali halisi iwe ina grant situation kama hiyo kuwa facilitated.
 
online...just google and type your question utapata all the evidence...maana tusiandike wakati wino upo.

Hahahahaha ukiona mtu anazungusha zungusha ujue kuna kitu...lol...

Haya basi nakubaliana na wewe (just for the sake of it) kuwa Hillary alipata support kubwa ya wanawake mwishoni...you won!
 
Ametumia style ya Kuhano hahahaha
 
Hahahahaha ukiona mtu anazungusha zungusha ujue kuna kitu...lol...

Haya basi nakubaliana na wewe (just for the sake of it) kuwa Hillary alipata support kubwa ya wanawake mwishoni...you won!

Its not the point of me winning ila nakupa fact ili uelewe LOL!....
 
Yes tunataka uongozi...siyo uvivu ila nilitaka uelezee badala ya kuaniambai go google....wakati unalo jibu hapo hapo....be straight foward.

Wewe mbona umeniambia ni google data za Hillary unazodai zipo wazi wazi? Double standard?
 
Mama are you a homophrodite? or something like that.....nauliza tu ili nije na swali lingine...

Ndugu U, kwa manufaa ya wanaJF wasiojua maana ya hilo neno (maandishi mekundu), naomba uweke maana yake halisi na kwa lugha nyepesi na kisha uombe radhi.

Ndugu yangu, kama nilivyosema hapo awali maswali yote yatajibiwa utakapofika wakati muafaka.

Nawashukuru wote na hasa Kelly kwa kuleta mada hii.

Ahsanteni sana na Mungu awabariki wote.
 
Kweli kabisa Mangi...Mama Migiro siyo kama wanawake wengi. She is scrupulous. She carries herself well...with dignity. Hata ukimwangalia tu unatamani na wewe siku upate mwanamke kama huyo. Siyo kama hawa kina Mange sijui nani...they are all over the place with gazzillion of ex's. Ukienda Facebook wako...Hi5 wako...myspace wako...Tweeter..wako...what the hell.....How will that make anyone secure? Nobody, male or female!

Kuwa na fb,myspace au hi5 profile doesnt mean huyu mwanamke siyo smart na kwamba she doesnt carry herself well....zile zipo ili kuweza ku interact na marafiki zako ambao umepoteana nao (long lost friends or relatives)....mbona kuna wanaume kibao kwenye hizo network have you ever think about them too?...
 
Hakuna double standard hapa therefore the same applies.....but then again..I am me...and to each his/her own
 
Wewe mbona umeniambia ni google data za Hillary unazodai zipo wazi wazi? Double standard?

No siyo double standard ila nilitaka kirefu cha TNGP....Sikutana anipe takwimu za TNGP....hata ningeenda ku-google nisingepata TNGP of course ingekutana na a lot of TNGP......See the difference?
 
lol sijakupa taw\kwimu za TGNP......

.....unaoana sasa alafu mnataka kutuongoza....
 
Ndugu U, kwa manufaa ya wanaJF wasiojua maana ya hilo neno (maandishi mekundu), naomba uweke maana yake halisi na kwa lugha nyepesi na kisha uombe radhi.

Ndugu yangu, kama nilivyosema hapo awali maswali yote yatajibiwa utakapofika wakati muafaka.

Nawashukuru wote na hasa Kelly kwa kuleta mada hii.

Ahsanteni sana na Mungu awabariki wote.

Nadhani alikosea spelling,hata hivyo definition ya wikipedia hii hapo chini...

A hermaphrodite is an organism having both male and female reproductive organs.
 
Back
Top Bottom