Je, mpaka sasa Majeshi yaliyo Wizara ya Mambo ya Ndani hayajapata mshahara?

Ni KADA nyingi tu hazijapata! Nilisema mapema sana Tarehe za kumi na......
 
ccf005bb76d4185cdd83085d474c9586.jpg
 
Embu acha makelele yako hapa wewe,kwani wewe Ni Mtumishi wa umma? Hayo majeshi Ni mangapi ? Unakiasi gani Cha fedha Cha kukopeshwa hayo majeshi? Umekaa na kadi za benki mkononi mwako za hayo majeshi?

Unafahamu Tarehe za kupokea mshahara watumishi wa umma? Wewe unahusika vipi na mishahara ya watumishi wa umma?

Madeni yako na wadeni wako yanaingiaje katika masuala ya kiutumishi na kiserikali? Kwanini usiende kuwadaia madeni yako tu?

Uwe na adabu siyo kuandika tu vitu visivyokuhusu na kuichafua serikali yetu.

Hujuwi chochote kuhusu watumishi na taratibu za kiutumishi halafu unakuja kuandika andika tu hapa utafikiri umelewa Pombe.
 
Makamanda wananipiga chenga hawataki kulipa madeni yangu wanasema hawajapata mshahara mpaka Jana jioni wqkati watumishi wengine tiyari wamenipa changu.

Mbona hii hali si kawaida au wameamua kunitapeli?
Yaani unawatangazia wajeda unawadai wakati kamanda wao inchifuu boli linatembea!
 
Embu acha makelele yako hapa wewe,kwani wewe Ni Mtumishi wa umma? Hayo majeshi Ni mangapi ? Unakiasi gani Cha fedha Cha kukopeshwa hayo majeshi? Umekaa na kadi za benki mkononi mwako za hayo majeshi?

Unafahamu Tarehe za kupokea mshahara watumishi wa umma? Wewe unahusika vipi na mishahara ya watumishi wa umma?

Madeni yako na wadeni wako yanaingiaje katika masuala ya kiutumishi na kiserikali? Kwanini usiende kuwadaia madeni yako tu?

Uwe na adabu siyo kuandika tu vitu visivyokuhusu na kuichafua serikali yetu.

Hujuwi chochote kuhusu watumishi na taratibu za kiutumishi halafu unakuja kuandika andika tu hapa utafikiri umelewa Pombe.
😳Jaman
 
Si mlisema askari na walimu wamelipwa tangu juzi...........wee komaa nao tu.
 
Back
Top Bottom