Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,082
- 8,343
So mwanangu uliloweka?
Itakua bado imo, dah nenda kwa Dr andaa hela sasa
Itakua bado imo, dah nenda kwa Dr andaa hela sasa
njooni nimsafishe kizazi!
Naona munahidhinisha mauaji, wewe umezaliwa kwanini umuue mwenzio tena kiumbe chako mwenyewe. Hii ni dhambi na haitakuacha salama.
Ata ingekuwa ni situation ngumu kiasi gani bado haijafikia dhamani ya roho.Mkuu acha uchuro hujui nipo katika situation gani hadi maamuzi yakafanyika
Anaogpa 30 yrsAta ingekuwa ni situation ngumu kiasi gani bado haijafikia dhamani ya roho.