FIDIVIN
Senior Member
- Aug 4, 2010
- 187
- 41
Ni ukweli usiopingika issue ya posho ya Dr.Slaa imekuwa gumzo na pengine imempa wakati mgumu Dr.
Ni Mh.Mbowe aliyetoa siri hii mara ya kwanza kwenye public na kusisitiza uamuzi wa chama kumlipa Dr. kwenye vyombo vya habari mara kadha.
Je kulikuwa na sababu ya kuweka wazi posho hii? Mbowe hakujua madhara yake? Hakujua sheria ya kodi inasemaje na jamii hasa wapinzani wake watasemaje? Dr. sasa kimya! hana ujasiri tena kuongelea mambo ya posho na matumizi mabaya. Je pengine alifanya makusudi na kwanini?