bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,667
Mkufunzi wangu wa shule flani alipata kunijuza maana ya Agent Provocateur kwa kifupi hawa ni watu wanaoweza kuwa nje au ndani ya mfumo na wanatumika kuzima hot issues flani ambazo sizo rafiki kwa wakati huo kwa lengo la kufanya watu kutoelewana.
Kwanini Mayele
Ukiangalia mwezi huu Yanga walikua na mambo mazuri mengi sana japokua hata mabaya nayo yalikuwepo, baadhi ya mambo mazuri kwa Yanga ni kama vile.
Ukiangalia hayo yote ni mema kwa yanga kwani yanga wakitulia na kuweza kufanya hayo hakika watakua timu bora sana na haya yote yanafanywa chini ya Rais mwenye maono Eng Hersi Said.
I want to tell Yanga fans hakika mkimpoteza huyu mwamba mtarudi miaka 20 nyuma, Hersi Said anaipenda Yanga kama timu yake lakini tambueni either nje au ndani ya Yanga kuna watu hawamtaki huyu mwamba kwa misimamo yake dhabiti kwenye kuendesha timu ya Yanga kisasa.
Mayele anaweza kuwa Agent Provocateur anayetumika either na watu wa nje au ndani ya mfumo wa Yanga jiulize kwanini ashambulie viongozi ishu ni ndogo tu ukishambulia viongozi means na Rais wa Yanga yupo ndani mwake huyu jamaa ni hatari sana kwa afya ya Simba waulize kuhusu zile 5, pia kwenye mfumo wa mpira wetu jamaa ni tishio kwa kifupi wazee wa 10% hawampendi.
Mayele ameibuka kipindi Yanga ikiwa na matukio yake muhimu ya kitaifa na kimataifa kwanini hakuibuka wakati Afcon inaanza hivi kweli Mayele huyu huyu ni wa kumweka benchi Bongonda, Wisa au Cedric Bakambu jibu ni hapana.
Mayele alikuja kama mchezaji professional ila baada ya kujifunza uswahili wa Kitanzania akakosa busara na kuanza kuropoka hovyo.
Wanayanga mzidi kujipanga kwa gemu zijazo ni kawaida kwa timu kubwa kushambuliwa haya ya Mayele yasiwatoee mchezoni kabisa.

- Miaka 89 ya siku yao ya kuzaliwa.
- Ahadi ya Gsm Kujenga Yanga Arena
- Kupata ushindi kwenye gemu zao za ndani na nje.
- Kuingia mikataba minono na Agha Khan Hospital pamoja na Benki ya Nmb ile ishu yao ya kadi ya milioni 1.