Je, Marekani kuvunja Uhusiano na CCM?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,755
218,366
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.

Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
 
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani , huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani .

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania , Kwa tafsiri rahisi , kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua , kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji , ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi , hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha .

Sasa swali letu ni hili , baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda , uhusiano wake na Marekani utaendelea ?
Watajuana wenyewe sisi haituhusu Ila DAB ajisalimishe ubalozini akaombe wamfutie hio nuksi
 
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani , huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani .

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania , Kwa tafsiri rahisi , kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua , kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji , ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi , hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha .

Sasa swali letu ni hili , baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda , uhusiano wake na Narekani utaendelea ?
Ikumbukwe kuwa Marekani haina adui ama rafiki wa kudumu, huangalia maslahi yake tu kwa wakati husika

images - 2023-10-22T231628.311.jpeg
 
US hana adui wala rafiki wa kudumu,walafi wa madaraka wakihonga hata kamgodi kadogo Geita kumpa US Makonda anawekewa red carpet kuanzia Airport mpaka Pentagon.

Tujisimamie kujikomboa bila kutegemea wazungu wenye kuangalia maslahi yao kwanza.
 
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.

Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Makonda na Marekani lao moja. Wanamjua kuwa naye ni watoto wasio riziki
 
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.

Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua, kwamba Makonda hatakiwi kuingia Marekani na Nchi Washirika kwa vile ni Muuaji, ikumbukwe kwamba USA haijawahi kumsingizia mtu tuhuma kama hizi, hii ina maana kwamba wana ushahidi wa kutosha.

Sasa swali letu ni hili, baada ya ccm kumpa cheo mtuhumiwa wa mauaji Makonda, uhusiano wake na Marekani utaendelea?
Wanaweza hata kuimarisha uhusiano na Makonda.....US huwajui.l wakishapewa vitalu
 
Back
Top Bottom