Black African
Member
- Oct 17, 2011
- 24
- 3
Natanguliza salamu kwa wana jf wote nawatakieni afya njema.Naomba michangio yenu,me ni kijana wa makamo tu,bado nipo single kama miaka 3 nyuma nilipata kuanzisha urafiki na msichana,mwanzo wetu ni kwamba nilikosea namba na nikampata huyo msichana,nikamshawishi tuwe marafiki japo kwenye cm tu,kwa mara ya kwanza alikataa na mvua ya matusi kuninyeshea,kutokana na hali hiyo nikasita kumpigia cm,ila kwa mda akarudi matawi ya chini akaanza kunipigia na tukawa tunaendelea kuongea hadi leo mwaka wa 3.Backgraund ya ke anasema ni msichana 17yrs old ni yatima anaishi na mama tu huko Magomeni Dar,kiukwe hivi sasa tumezoeana sana tunaongea na kufurahi kwa pmj nikimtaja vocha hacheleweshi yaani kiujumla tunavowasiliana tu tayari ameshaziteka hisia zangu.Sasa chakunisaidia me nipo ZNZ yeye yupo DAR,yeye kuja huku hataki mm nilipata kusafiri kwenda Dar mara moja tu tulipanga kuonana hata hivyo hakuwa tayari,binafsi nataka nimuandalie safari nyengine,sijue mnanambiaje ukizingatia na masuala ya UTAPELI.