Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,020
- 577
Je, kama ni kweli huongeza vipi nguvu za kiume? Nguvu za kike je? Kwa nini karanga mbichi na sio zilizokaangwa? Wengine husema mchanganyiko wa ngisi, garlic na asali mbichi huzidisha nguvu za kiume, ni kweli nayo hii? Kwa nini isiwe asali nyingine? Isije ikawa ni promotion ya biashara hizo.