Je kwanini watanzania wengi ni LEGELEGE?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kwa muda sasa watanzania wamekuwa wakimungunya mungunya maneno kuwa wanakandamizwa eti hali yao mbaya, ukienda mtaani vijiweni utakuta wanaongelea dowans, kupanda kwa maisha, IPTL , EPA, kagoda. RA etc huku serikali yao inasema mambo ni safi

Ukija hapo JF unakuta watu wako nyuma ya monitor zao wanacheza na keyboard kama kawaida wanamungunya mungunya bila kutenda.

Je kama wewe mwanaJF hii hali unaonaje?

Watanzania wamekuwa mazezeta?

WanaJF wamekuwa wamungunyaji wa maneno?
 
Kwanini wanaJF wanaandika kuamasisha watu huku wenyewe wako nyuma ya keyboard?

Kwanini wanakuwa legelege hivi?
 
Wewe je? Umejipina na kujua si legelege tupe kipimo ulichotumia.
 
Back
Top Bottom