Je,kwanini ukienda kuoga baada ya muda mfupi unatoka uchafu?

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Pengine ni kutofahamu ningeomba kusaidiwa kujua hili, hata binadamu utoke kuoga dakika 5 tu zikapita, kidole chako ukatumbukiza katikati ya makalio makalio harufu itakayo toka huko hutaamini kama ndiyo umetoka kusugua sehemu hizo.

Kwa wataalam naomba kujua hapa pana mechanism gani huku nyuma hakukosi harufu ya haja kubwa hata upulizie marashi?
 
Last edited by a moderator:
Kunuka katkati ya makalio hata kama umetoka kuoga ni nini kinasababisha! Hata utie Marashi, kuna harufu ya uchafu inatoka ikitokea umejishika aidha kwa bahati mbaya ama kukusudia.
Tafadhali maelezo kwa wataalamu wa mwili wa binadamu hususani madaktari.
 
Ndg. N kuoga ni kusafisha mwili na ngozi ya juu ya mwili.. ila huko katikati ni mlango wa mwisho wa kutoka uchafu tumboni !! Lazima panuke !!!
(usichambe chambe sana utashika maviee)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom