Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

mji wa jarusalem umekuwa na fujo kwa sababu hao wayahudi walipewa mji wa uganda walikuwa waletwe uganda ndio uwe mji wao wakakataa wakatafytiwa israel wakakubali na sasa wanataka kuongeza sehemu ndio wameitaka jarusalem wakati wao ni wakuja tu tena mshukuru mungu waliiikataa uganda wangekubali kuishi hapo leo wewe usingewapenda hao wayahudi maana wanafitina na tamaa wangeongeza ardhi wakasema na bukoba yao na baadae mwanza yao ungefanya nini
 
Mi sielewi wakistro wanajikomba kwa islaer ingawa wenyewe hawana habari nao.
 
mpka leo hujui hilo pole mnoo

muhhamad hakuja kuleta uislam Bali alikuja kuongeza nguvu ya Kile kilichoachwa nawakubwa wake waliomtangulia...kina sumeimani..yusuph .Mussa..issa.(yesu) ..nuhu .adamu ..yacobo ..lutu..isaya ..e.t.c
Hamna kitu hapo ni kuokoteza, Mohammad ndiye mwanzilishi wa uislam period
 
bible au bibilia ni kitabu gani? maana mungu aliteremsha tourati zaburi injili quaran hii bible imeandikwa wapi na je kuna kitabu cha mungu kikawa na kitabu ki pya na na cha zamani ndio ya mungu ikaachwa wapi kwenye bible yesu kasema mimi ni kristo sio paulo kasema au yohana kasema nionyeshe yeye mwenyewe kasema
Umeshahama kwenda mada nyingine. Tulikuwa kwenye Jerusalem ya Wayahudi naona umeenda kwingine
 
labda nami nikufafanulie kidogo.

--uyahudi maana yake ni mtu wa yuda ama mzao wa yuda.

--ukristo maana yake ni ufalme,mteule ama kwa maana halisi ni mpakwa mafuta au king.

--uislamu maana yake ni kumtii mungu ama kujinyenyekeza kwa mungu ama kuwa chini ya mungu,yaani kujisubmit kwa mungu.

Sasa wanapokwambia uislamu upo tangu enzi za kina abraham,ujue wanaongelea watu wameanza kumwambudu mungu kabla ya huo uyahudi ama ukristo
Neno uislam halikuwepo limeanza wakati wa Mtume Muhammad (SAW), mengine ni kuungaunga
 
abraham alitoka iraq,
wayahudi unaowasema walichukuliwa kupelekwa babylon ambako pia ni iraq.
Abraham alipofika caanan alimtembelea mtawala wa wafilisiti mechizedeki ambae alikuwa ni mtawala wa jerusalem,
melchizedeki huyo pia alikuwa kuhani mkuu wa dini iliyomwabudu Mungu mkuu,The most high,El.
Abraham alikwenda kuombewa kwa huyu melchzedeki,
sasa jiulize sana,huyo melchizedeki aliabudu dini ipi?

Pia abraham alipotoka misri,alikutana na mtawala mwingine wa wafilisti,alieitwa Abimelek,
abraham akamsakizikia huyu mfalme alale na mkewe sara ili Abraham akamate ugoni ili alipwe fidia.
Mungu aliongea na mfalme Abimelek na kumsitua kuwa Sara ni mke wa abrahamu na siyo dadake,

jiulize sasa huyo mungu aliekuwa akiongea na mfalme Abimeleki ni mungu yupi ambae mfalme alikuwa anamtii na kumsikiliza kabla hata uyahudi haujakuwepo?
Haina ukweli wowote hiyo uliyoiandika, Ukristo, Uislam na Jews zinaitwa Abrahamic religions unajua kwa nini? kwa sababu aliyeanzisha kuabudu "Mungu mmoja na Mkuu" ni Abraham/Ibrahim. Huyo Abimelek unayemsema umeokoteza kwa kuwa si kweli kwamba Mungu Mkuu ndiye aliyemwambia suala hilo. Aidha Ibrahim hakuwa na lengo la kupata fidia bali aliogopa kwamba kama atasema ni mke wake basi mfalme anaweza kumuua Ibrahim ili amchukue Sara hivyo ili kulinda uhai wake ikabidi adanganye. Huyo mfalme alidokezwa na wapelelezi wake kuhusu Ibrahim kuwa mume wa Sara.
 
Abraham alifuata imani ya malikzedeki,ambae ndo alikua kuhani mkuu wa mungu mkuu
 
Makao makuu ya wakuu ya wakristo ni Roma. Huwa hawaelewi kazi yao ubishi.
Sasa kusema hv kunakusaidia nini?kweni hata wakipafanya kua sehemu yao kiimani ndo wanakua na dhambi?

Mbona kuna kindu kubwa la watu duniani tunao amini nchi ya ahadi ni Kush(Ethiopia). So kwamba tuna dhambi au?

Wabongo bana
 
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.

Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.

Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?

Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
Utawala wa Wafuasi wa Yesu si wa Dunia Hii

YN. 18:36 Yesu akajibu, ufalme wangu sio wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu, watumishi wangu wangenipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi. Lakini ufalme wangu sio wa hapa.
 
kwanza elewa uslam ni nini na maana yake maana yake ni kumwamini mungu mmoja kuna kufa kuwaamini mitume na kuwaaheshimu wote kuna mwisho khiyama huo ndio uislam na kuanzia adam mpaka yesu issa wote waliamini hivyo ndio maana ya uislam na kila mtume alitumwa kwa watu wake tu sio kwa wote yesu alisema nimetumwa kwa kondoo waliopetea wa wana wa israel tu sio kwa wazaramo sasa muhamad katumwa kwa watu wote na kapewa sala na sheria
kwahyo kabla ya muhamnad wayahudi walikuwa waislam?
 
Haina ukweli wowote hiyo uliyoiandika, Ukristo, Uislam na Jews zinaitwa Abrahamic religions unajua kwa nini? kwa sababu aliyeanzisha kuabudu "Mungu mmoja na Mkuu" ni Abraham/Ibrahim. Huyo Abimelek unayemsema umeokoteza kwa kuwa si kweli kwamba Mungu Mkuu ndiye aliyemwambia suala hilo. Aidha Ibrahim hakuwa na lengo la kupata fidia bali aliogopa kwamba kama atasema ni mke wake basi mfalme anaweza kumuua Ibrahim ili amchukue Sara hivyo ili kulinda uhai wake ikabidi adanganye. Huyo mfalme alidokezwa na wapelelezi wake kuhusu Ibrahim kuwa mume wa Sara.
Ujue hata abrahamu hakuwahi kuwepo,,hata huyo Abimelek maana yake ni Abu malik yaani mwana wa mfalme,,sio jina halisi la mtu kwamba kuliwahi kuwa na mtu aitwae Abimeleki
 
bible au bibilia ni kitabu gani? maana mungu aliteremsha tourati zaburi injili quaran hii bible imeandikwa wapi na je kuna kitabu cha mungu kikawa na kitabu ki pya na na cha zamani ndio ya mungu ikaachwa wapi kwenye bible yesu kasema mimi ni kristo sio paulo kasema au yohana kasema nionyeshe yeye mwenyewe kasema
Ulizidaka wewe zilivyoteremshwa ?
 
Kweli kifo ni lazima kwa kila kiumbe ila kunabaadhi ya watu hawakufa, Maria hawez rudi tena na hatohesabiwa siku ya hukumu kwani yy ni mbarikiwa mkingwa dhambi ya asili
NDIO MARIA ALIPALIZWA.
Wewe mbona unahitimisha kua hakufa na kupalizwa..?
Kanisa katoriki ina record ya watakatifu ambao hawakuonja umauti..
Mm nao wajua ni
-Bikira Maria mama wa Yesu Kristo (sio issa)
-Henocko
-Nabii Eliya (kama sijakosea)

Na watakatifu wengine..
Nani alikwambia eliya hakufa kasome bible tena kwa umakini
 
abraham alitoka iraq,
wayahudi unaowasema walichukuliwa kupelekwa babylon ambako pia ni iraq.
Abraham alipofika caanan alimtembelea mtawala wa wafilisiti mechizedeki ambae alikuwa ni mtawala wa jerusalem,
melchizedeki huyo pia alikuwa kuhani mkuu wa dini iliyomwabudu Mungu mkuu,The most high,El.
Abraham alikwenda kuombewa kwa huyu melchzedeki,
sasa jiulize sana,huyo melchizedeki aliabudu dini ipi?

Pia abraham alipotoka misri,alikutana na mtawala mwingine wa wafilisti,alieitwa Abimelek,
abraham akamsakizikia huyu mfalme alale na mkewe sara ili Abraham akamate ugoni ili alipwe fidia.
Mungu aliongea na mfalme Abimelek na kumsitua kuwa Sara ni mke wa abrahamu na siyo dadake,

jiulize sasa huyo mungu aliekuwa akiongea na mfalme Abimeleki ni mungu yupi ambae mfalme alikuwa anamtii na kumsikiliza kabla hata uyahudi haujakuwepo?
Acha uongo

Nani alikwambia Melchizedek ni mfilisti?

Hakuna hajuaye kisa hicho biblia iligisia kidogo sana

Melchizedek could be any body or not a person at all. Kuna watu wanaamini alikuwa ni yesu mwenyewe .

Hafu el sio jina LA Mungu ila ni Mungu that is a general word

El ni kama God sio jina hilo mzee unaturisha matango pori.
 
We jamaa muongo muongo sana

Ibrahimu alikuwa hataki ransom acha ujinga, alifanya vile kutowabia kwamba Sarah ni mkewe sababu ya kuhofia maisha yake.

Pia Sarah alikuwa ni kweli Dada ake ibrahimu hakudanganya Bali aliwapa half truth tu Sarah alikuwa mkewe pia dadake

Ni Mungu yupi huyo aliemwambia abimelek kuwa Sarah sio Dada was ibrahim nahuku ni Dada ake kweli (Mungu haongopii)
 
Acha uongo

Nani alikwambia Melchizedek ni mfilisti?

Hakuna hajuaye kisa hicho biblia iligisia kidogo sana

Melchizedek could be any body or not a person at all. Kuna watu wanaamini alikuwa ni yesu mwenyewe .

Hafu el sio jina LA Mungu ila ni Mungu that is a general word

El ni kama God sio jina hilo mzee unaturisha matango pori.
Malikizedek maana yake ni mfalme mtukufu ni title,sio jina,,,kipindi abraham anafika caanan alikaribishwa na king wa filistian ,Abimelek,,ambalo pia ni title tu,,hawa wazee wa kiyahudi walijua kutuokota kweli kweli
 
Back
Top Bottom