wanaume wengine wanakusudi dada usipime! hapo ndo anakuchokoza kabisani namna ya kumsoma tu huyo mwanamke
ukijua kipindi hicho hapendi kuulizwa ulizwa masuala, unaacha kumuuliza unampa space yake.
:confused2::confused2:
mmh sina uhakika ila kuna fununu nilizisikia kama sio hapa hapa JF kuwa wanakuwa na hamu sana wakati huo..........asa cjui ukali huwa ni matokeo kuwa hawawezi saidiwa ile huduma ama vipi?
Lakini wapo hapa hebu watujuvye
ni kweli wakiwa kwenye period wanakuwa na nyegerere vibaya mno hilo la hasira sina uhakika lakini nadhani inategemea mtu na mtu:confused2::confused2:
mmh sina uhakika ila kuna fununu nilizisikia kama sio hapa hapa JF kuwa wanakuwa na hamu sana wakati huo..........asa cjui ukali huwa ni matokeo kuwa hawawezi saidiwa ile huduma ama vipi?
Lakini wapo hapa hebu watujuvye
Hili suala kama nilivyosema linatokana na mabadiliko ya hormones. Moving from estrogen at ovulation to progesterone peak before menses siyo kitu kidogo. Ni muhimu kuelewa na kuwasaidia. Binafsi nilikuwa nakwazika sana ila baada ya kuwa mtu mzima na kuelewa vizuri hizo dynamics naona ni kawaida tu. Hakuna justification kukimbilia nje kwani hata hao wa nje wana hormone cycles kama za wake zetu. Tofauti ni kuwa, kule nyumba ndogo watu hawaendi kipindi hicho vinginevyo wangeyaona hayo matatizo ya mood.