Je kuna ukweli kwenye haya ?

Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,968
1,476
ndoa za aina hii

1. ndoa hii mwanamke anapewa kila kitu mpaka kiberiti,haijalishi kama mke ana pesa au la ...ukija suala la mapenzi anapewa A anajua njia zote za kucheza na akili za wanawake mtundu in short, lakini mwanaume huyu anafanya uchafu wake wa kumtosha mlevi,malaya yote mabaya lakini mke hakoromi kwake na wakati mwingine akiona hata msg kwenye simu ya mume anaogopa aanzie wapi kuuliza maana kama ni kila analohitaji anapata.

2.hapa ni nusu nusu leta nilete hata kama yeye ndio ana kipato kuliko mama na mahitaji binafsi ya mama ni yako, lakini baba huyu mstaarabu anajitahidi kutunza heshima ya familia hakosi maudhi yake lakini hayafanani na huyo wa kwanza.

3 ndoa hii ni ile ya kushirikiana kwa pamoja kusaidiana , mume/mke yupo wazi pesa yake ya wote hamna anayefanya chochote bila mwenzie kushirikishwa baba anajali mke,mama vile vile.

ndoa ipi kati ya hizi ukipewa uchague litakuwa pendekezo lako. naamini wengi wataona ndoa no 3 ndio nzuri ,lakini je ni kwanini kuna stori nyingi zinazoendelea na watu kuamini wadada wanapenda mshiko zaidi.

ndoa no 1 is more likely kuvumiliwa na wadada wengi kama watu wengi wanavoamini kuliko hizo mbili sababu tu maisha yake yamewekwa level na Mr akiamini atachuja mjini akijaribu kutoa miguu yake

ANGALIZO:sio wadada wote wako ivo ila inaaminika wengi wapo ivo, nahitaji mchango wa kina baba pia tukiangalia zaidi suala la mapato yetu na maisha ya kisasa yanavoadhiri ndoa zetu. ukiona jirani yako kanunuliwa harrier kesho nawe bishoga wataka bila kujali kipato cha mwezi wako.
 
Tatizo umeandikwa kwa ku generalize mno
watu tupo tofauti mno.....

Ukisema mwanamke

mfan o 1.. Anatoka familia tajiri au maskini
2.ana elimu ya kiwango kipi?
3.ana uzuri wa kiwango kipi?
4.anatoka culture ipi,mhindi au mwarabu au mchanganyiko au mswahili...?

Hayo ni machache tu...
 
nafikiri hujanielewa ndio maana nimetoa angalizo sio wote wako ivo ila ....... nisome vizuri,kuhusu elimu haijalishi ni msomi au sio,suala la uzuri lipo kwa mtazamaji siwezi kuliongelea na hapa nawaongelea watanzania weusi kama mimi.

Tatizo umeandikwa kwa ku generalize mno
watu tupo tofauti mno.....

Ukisema mwanamke

mfan o 1.. Anatoka familia tajiri au maskini
2.ana elimu ya kiwango kipi?
3.ana uzuri wa kiwango kipi?
4.anatoka culture ipi,mhindi au mwarabu au mchanganyiko au mswahili...?

Hayo ni machache tu...
 
nafikiri hujanielewa ndio maana nimetoa angalizo sio wote wako ivo ila ....... Nisome vizuri,kuhusu elimu haijalishi ni msomi au sio,suala la uzuri lipo kwa mtazamaji siwezi kuliongelea na hapa nawaongelea watanzania weusi kama mimi.

chauro ni jina la kihindi..
Na avatar yako haioneshi kuwa we ni mweusi....funny though...lol
 
boss acha kuchakachua post yangu ina maana yake ati embu lete mchango wako mi huwa napenda sana kula chauro ndo maana nikachagua hilo jina.

chauro ni jina la kihindi..
Na avatar yako haioneshi kuwa we ni mweusi....funny though...lol
 
boss embu lete mchango wako acha kuchakachu hii post , huwa napenda sana chauro ndo maana ya hilo jina

chauro ni jina la kihindi..
Na avatar yako haioneshi kuwa we ni mweusi....funny though...lol
 
ndoa za aina hii

1. ndoa hii mwanamke anapewa kila kitu mpaka kiberiti,haijalishi kama mke ana pesa au la ...ukija suala la mapenzi anapewa A anajua njia zote za kucheza na akili za wanawake mtundu in short, lakini mwanaume huyu anafanya uchafu wake wa kumtosha mlevi,malaya yote mabaya lakini mke hakoromi kwake na wakati mwingine akiona hata msg kwenye simu ya mume anaogopa aanzie wapi kuuliza maana kama ni kila analohitaji anapata.

2.hapa ni nusu nusu leta nilete hata kama yeye ndio ana kipato kuliko mama na mahitaji binafsi ya mama ni yako, lakini baba huyu mstaarabu anajitahidi kutunza heshima ya familia hakosi maudhi yake lakini hayafanani na huyo wa kwanza.

3 ndoa hii ni ile ya kushirikiana kwa pamoja kusaidiana , mume/mke yupo wazi pesa yake ya wote hamna anayefanya chochote bila mwenzie kushirikishwa baba anajali mke,mama vile vile.

ndoa ipi kati ya hizi ukipewa uchague litakuwa pendekezo lako. naamini wengi wataona ndoa no 3 ndio nzuri ,lakini je ni kwanini kuna stori nyingi zinazoendelea na watu kuamini wadada wanapenda mshiko zaidi.

ndoa no 1 is more likely kuvumiliwa na wadada wengi kama watu wengi wanavoamini kuliko hizo mbili sababu tu maisha yake yamewekwa level na Mr akiamini atachuja mjini akijaribu kutoa miguu yake

ANGALIZO:sio wadada wote wako ivo ila inaaminika wengi wapo ivo, nahitaji mchango wa kina baba pia tukiangalia zaidi suala la mapato yetu na maisha ya kisasa yanavoadhiri ndoa zetu. ukiona jirani yako kanunuliwa harrier kesho nawe bishoga wataka bila kujali kipato cha mwezi wako.

du, kazi kwelikweli,
haya,hiyo namba 1, si utani ni nzuri sana kwa upande wngu mimi mwanaume,
kwani nidhamu ipo juu sana kwa upande wa mwanamke!maisha yanasonga , heshima ndani ya nyumba ipo mahali pake!

Tatizo ya hizo nyingine bana, mkishaanza kushea tu, ndo matatizo yanapoanzia hapo,
sijui wewe leta chakula, hebu nisaidie kwenye ada za watoto, mimi ntafanya hiki!
lazima baadae kuna vidharau fulani tu vitaanza!
Ni mtizamo tu!
 
Hiyo ya kwanza imekaa ki-mila zaidi..na hiyo ya pili ina ka-dalili flani ka ubinafsi kidogo na kutompa mzee uhuru flani hivi!
Hiyo ya tatu ndio ndoa halisi kwa maana ya kuishi vizuri ktk nyumba..lakini hizi smtimz hazidumu coz watu wengi wana-pretend kuwa hivi..wanoana wakiwa na zile element za hiyo ya kwanza na ya pili.
Mwisho wa siku ni kusumbuana kwa sababu zile dalili zinaanza kujitokeza..
 
mmengewaacha CHAURO na THE BOSS waendelee kubishana wakimaliza na nyie ndo muingilie kati
 
Mbona wachangia mada hii wanakwepa kuwa specific au ina mtego, Chauro tunaomba wewe uwe wa kwanza ku-specify unapenda aina ipi 1,2 au 3!!!!
 
ntatoa mawzo yangu mwisho nimeleta tu kama changamoto zinzoendelea ndani ya familia zetu na watu waume/wake huwa wanazichukuliaje

Mbona wachangia mada hii wanakwepa kuwa specific au ina mtego, Chauro tunaomba wewe uwe wa kwanza ku-specify unapenda aina ipi 1,2 au 3!!!!
 
ni kweli watu huwa wanapretend au ndo walivo vipi iyo ya pili baba amenyimwa uhuru gani hapo hujafafanua vizuri

Hiyo ya kwanza imekaa ki-mila zaidi..na hiyo ya pili ina ka-dalili flani ka ubinafsi kidogo na kutompa mzee uhuru flani hivi!
Hiyo ya tatu ndio ndoa halisi kwa maana ya kuishi vizuri ktk nyumba..lakini hizi smtimz hazidumu coz watu wengi wana-pretend kuwa hivi..wanoana wakiwa na zile element za hiyo ya kwanza na ya pili.
Mwisho wa siku ni kusumbuana kwa sababu zile dalili zinaanza kujitokeza..
 
naona umefurahia heshima na unyenyekevu wa no 1 vipi kuhusu heshima yako kwa mkeo,tukitazama hali halisi ya maisha je kuna ka ukweli heshima huwa kubwa kama pesa ipo na huduma ni nzuri .............

iyo ya pili vipi kuhusu kuogopa kushare na mama watoto kama kipato chako ni kidogo sababu ya kuogopa dharau huoni kama utakuwa unajiumiza na wakati mwingine kujiweka kwenye madeni makubwa sababu tu ya kuonyesha unaweza kumbe unakufa na tai shingon.

du, kazi kwelikweli,
haya,hiyo namba 1, si utani ni nzuri sana kwa upande wngu mimi mwanaume,
kwani nidhamu ipo juu sana kwa upande wa mwanamke!maisha yanasonga , heshima ndani ya nyumba ipo mahali pake!

Tatizo ya hizo nyingine bana, mkishaanza kushea tu, ndo matatizo yanapoanzia hapo,
sijui wewe leta chakula, hebu nisaidie kwenye ada za watoto, mimi ntafanya hiki!
lazima baadae kuna vidharau fulani tu vitaanza!
Ni mtizamo tu!
 
Chauro nikuulize swali....
Why do women cheats?
Especially kama kila kitu unampa?
 
Back
Top Bottom