Je, kuna ukweli kuwa wanawake wa kiafrika hawako huru kitandani?

snowhite well said, kuna wanaume ni wabinafsi kweli. ye akifika tu ni usingiz wallah me ckuachi ulale mpk gari langu nalo lifike lol. . .

na wala usiache akuache babu!lazima ajipange hasa sio kulala tu kwani amekutoa kwenu ulale!mi hata kama sijafika na ye ngoma ishashula namwambia!kwanza anajua tu hapa ajwah!anajipanga upya kitu jikoni,!
 
Kwanza maumbile kama hayako sawa,kwa maana ya kutokuuamini mwili wake,pia zipo aibu za kutokuzoeana,na kuna wengine kutokujua cha kufanya ila kuna wale ambao wako hivyo hawa nd hovyo zaidi!

Eiyer si suala la maumbile kutokuwa mazuri. Kuna wanawake wamejaaliwa kweli kweli lakini ukijifungia nae ndani ya kuta nne unashindwa kumsoma. Hata kuvua nguo tu inabidi mpimane ubavu kidogo. Mwingine hana shida ya kuvua nguo lakini ana aibu ya ajabu sana, anafunika sura yake usimtazame usoni na kukuachia majukumu wewe mwenyewe. Sasa mtu kama huyo unaanzia wapi kumuandaa? Hapo unapenetrate fasta fasta na kupiga mabao ya kukutosha kisha unasepa!
Tatizo kubwa hapa ni wanawake wengi kutojiamini!
 
Last edited by a moderator:
hao wanawake wa kiafrika sijui ni wapi mnawazungumzia, maana hii mitoto ya kike ya siku izi iko huru, inanyonya mpaka midushelele, wala hata haina aibu, experience yangu kwa hawa wadada wa siku izi sijaona mwenye aibu, tena kama my ex alikuwa analalamika nikimuacha njiani, so ilikuwa nikimuacha lazima mechi irudiwe, nilikuwa nakomaa mwanaume mpaka nikikumbuka uwa nacheka, maana alikuwa hasikii utamu eti kamoja tu, anataka mpaka maji yakauke.... basi tu sema things didnt work with her lakini she was good in bed, ataikalia, atakamata meza, yani she was bossy bitc* alikuwa hakubali nimuache, gfsonwin

sasa unaona huyu anajiahia kwasababu ya uelea na pia yawezekana aikuwa hivi kwasababu alitaka wewe uridhike zaid ila yeye haridhiki manake kuna fake.
 
we umelisema kihivi lakini kuna wale waaohisi hawavutii kisa wamezoeana hivi unakubalije mumeo/mpenzi akuzoee?wanawake achananeni kabisa na hii habari!tuwe na tabia za kinyonga kitandani/jikoni/chumbani/mezani/kauli/utani yote haya yanakufanya uwe mpya tuu kila siku!sio kila siku tenge la kulalia ndo hilo hilo,chakula cha usiku wali na nyama,ukiwa kitandani ni kama kanuni unashika mboo(samahani lakini nahisi naamini tupo mkoleni hapa so sio tusi hilo)unaloa unachanua miguu!siku nyingine jilaze kwenye meza yake ya kusomea,siku nyingine chapati iweke karot,siku nyingine kitanda kihamishe upande aliouzoea.siku nyingine lipia chumba hotelini mfuate ofisini mpeleke huko kwani kuna kosa kumteka mumeo,siku nyingine vaa g string,siku nyingine badili perfume unayopaka!

Kudadadadadadadeeeekiiii snowhite daaah!!
 
Last edited by a moderator:
na wala usiache akuache babu!lazima ajipange hasa sio kulala tu kwani amekutoa kwenu ulale!mi hata kama sijafika na ye ngoma ishashula namwambia!kwanza anajua tu hapa ajwah!anajipanga upya kitu jikoni,!

unajua kwenye majambooz wewe jitoe akili basi tena asikujue mtu kwenye hilo. ustaarabu pembeni cheza hadi kieleweke ikibidi mkeshe ngoma hadi ieleweke. wallah! mm hadi niseme nimechoka sijachoka hufungi jicho lol!
 
Are u realy doing this??
 
gfsonwin kama ni kufake sidhani, maana she knew me inside out, huyu alikuwa wife material sema tu mimi ndo nilikuwa kimeo, mambo ya ku fake alikuwa hana, kama nimemfikisha kilele cha kibo ntamjua tu sio lazima aseme au afanye kitu nilikuwa namuona tu najua hapa leo kafurahi haswa
 
Last edited by a moderator:
we umelisema kihivi lakini kuna wale waaohisi hawavutii kisa wamezoeana hivi unakubalije mumeo/mpenzi akuzoee?wanawake achananeni kabisa na hii habari!tuwe na tabia za kinyonga kitandani/jikoni/chumbani/mezani/kauli/utani yote haya yanakufanya uwe mpya tuu kila siku!sio kila siku tenge la kulalia ndo hilo hilo,chakula cha usiku wali na nyama,ukiwa kitandani ni kama kanuni unashika mboo(samahani lakini nahisi naamini tupo mkoleni hapa so sio tusi hilo)unaloa unachanua miguu!siku nyingine jilaze kwenye meza yake ya kusomea,siku nyingine chapati iweke karot,siku nyingine kitanda kihamishe upande aliouzoea.siku nyingine lipia chumba hotelini mfuate ofisini mpeleke huko kwani kuna kosa kumteka mumeo,siku nyingine vaa g string,siku nyingine badili perfume unayopaka!
snowhite naupenda sana mwandiko wako.

nami naongezea hapa mwanamke ndoa usiizoee. usiwe mtu wa kuish kwa mazoea kisa kila siku asbh chai na mkate basi iwe ni kanuni isiyobadilika jamani hata sabun za kuogea ukiitumia muda mrefu lazima utaichoka na kutafuta nyingine likewise ndoa iko hivyo. jitahd mara kwa mara kubadilisha stail za maisha kama aina za menu, mavazi mapambo ya ndani ya nyumba, hata bedrum style. pia badilika kapambo na hata kwenye majambooz.

usiwe mtu wa kusubiri kila siku network utafutiwe wewe kuitafuta no kila siku unachojua ni kushika mboo tu hadi imeshakkuwa ni kanuni. na kulala wewe lazima iwe ni usiku tu siku nyingine hata mchana peaneni manake wakati mwingine majira mnayofanyia ndo yanayozuia usifike pengine.

pia wewe mwanamke ukitaka kufika utafika tu so lon as unaamua mwili wako utumike vyema. uzuri wetu ni kwamba ukivuta hisia tu basi lazima ufike manake utamwaga maji na ndo raha ilipo.
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin kama ni kufake sidhani, maana she knew me inside out, huyu alikuwa wife material sema tu mimi ndo nilikuwa kimeo, mambo ya ku fake alikuwa hana, kama nimemfikisha kilele cha kibo ntamjua tu sio lazima aseme au afanye kitu nilikuwa namuona tu najua hapa leo kafurahi haswa

badilika usiwe tena kimeo kwa CL.
 
Are u realy doing this??

mdogo wangu mimi that is ma life, nilisha kwambia siku moja kwamba hili tendo ni miongoni mwa mambo niyapendayo sana na huwa sijawah kuchoka eti nisifanye ama tumetofautiana halafu nizire kufanya hapana. wangu mimi tufanye kisha tukimaliza kama unakinyongo endelea kununa ila kama nimekukoleza lazima utatabasamu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Siongezi neno hapo . . . . . . . !
 
Back
Top Bottom