Je, kuna ukweli kuwa wanawake wa kiafrika hawako huru kitandani?

Ni kweli Ndio wanaowafaa wanaume Wa kiafrika, we mwafrika Unataka Tabia za wanawake Wa kizungu za nini? Porno ee Ndo zakufundisha? Wanawake Wa ki Africa are the best of all for African, na Wa kizungu kwa wazungu acha ulimbekeni!

nafkir hujaelewa ama labda kufika kileleni ni uzungu?
 
gfsonwin hivi mwanamke ambaye hajawahi kufika kileleni tangu aanze majamboz anaweza kujua kwamba hafiki/hafikishwi?
Mimi nilidhani wale ambao walishawahi kufikishwa sasa wakikutana na wanaume ambao hawawafikishi ndio wanaweza kujua kwamba hawafiki.
aisee mkuu wapo manake wengine watajua kwama kuna kilele kwa kuskia stori ila kufikia hawajawah kabisa. na wapo ambao walikuwa anafika ila kwasasa wako na watu wasioweza kuwafikisha. manake ili ufike lazima nyote mpatisipate vyema ktk tendo tena mkaka ndo awe key player akontrol game vzr zaid kwani mama akikontrol baba atamaliza kabla.
 
Ni kweli Ndio wanaowafaa wanaume Wa kiafrika, we mwafrika Unataka Tabia za wanawake Wa kizungu za nini? Porno ee Ndo zakufundisha? Wanawake Wa ki Africa are the best of all for African, na Wa kizungu kwa wazungu acha ulimbekeni!

This is a lie,katika tamaduni tofauti sio kila mwenye tamaduni yake huvutiwa nayo.Ambae ni limbukeni ni wewe!Umejiaminisha katika dhana ya wanawake wa tamaduni moja huwa bora kwa wanaume wa tamaduni hiyo hiyo kitu ambacho ni uongo!
 
mie nasema kuwa unajua bwana every lady has a nwty side sasa mwaname lazima aweze kumuweka lady at ease ili nawe awe huru kuji-express. sasa tatizo ya sie wanaume tunakuwa judgemntal sana...demu akionyesha makeke basi loh unaanza uliza huyu mileage itakuwa kubwa sana.....sasa inhibitions zinakuwepo hilo tulikubali ila wewe mwanaume ukiwa free unajoke kuhusu ur nawty side au fantasies zako utakuta demu nae anakuwa muwazi. sio wewe wataka demu awe free alafu kumbe unaanza kumjudge ah wee umalay* huo....hapo demu lazima auwe kama gogo

aisee kumbe hata wanaume huwa mnachangia kutufanya tusiwe huru sasa je tufanyeje?
 
to be honest, me hta km nimechoka kuna sehemu nkishikwa tu huwa nachanganyikiwa, uchovu wote kuleee ila nikimaliza ndo uchovu unarudi kwa kas ya ajabu. . . kama nikifake ntaja umia mwenyewe make wkt na-fake lazma ntashikwa paale gear zangu zilipo na zikiamshwa tu lazima gari liendeshwe mpk mwisho wa safari. . .
 
This is a lie,katika tamaduni tofauti sio kila mwenye tamaduni yake huvutiwa nayo.Ambae ni limbukeni ni wewe!Umejiaminisha katika dhana ya wanawake wa tamaduni moja huwa bora kwa wanaume wa tamaduni hiyo hiyo kitu ambacho ni uongo!

you always have brain Eiyer.
 
Last edited by a moderator:
to be honest, me hta km nimechoka kuna sehemu nkishikwa tu huwa nachanganyikiwa, uchovu wote kuleee ila nikimaliza ndo uchovu unarudi kwa kas ya ajabu. . . kama nikifake ntaja umia mwenyewe make wkt na-fake lazma ntashikwa paale gear zangu zilipo na zikiamshwa tu lazima gari liendeshwe mpk mwisho wa safari. . .
thatz ma cute sis. unajua kila mtu ana mahali akishikwa lazima mwili ulegee hata kama hana tamaa na hayo mambo na yuko faraghani. sasa pia kuna waaume wengine jamani hawajui washike wapi kwenye miili yetu wengine wakishika ni kama wanaugomvi hadi unajaihisi wa nini huyu lol! mwingine akipanda kukuna nazi basi ata-nje ndani kama anakimbia marathon matokeo yake ni mwanamke kumfake ili amalize aondoke zake.
 
Labda anakubali kumpa kila siku kwakuwaq ni mke halali wa ndoa sasa mumewe anataka yeye atakataaje?
Kinachowaponza wanawake wengi hadi kufikia hatua hiyo ni kuhofia mume kutafuta nyumba ndogo kama mkewe hataki kumpa kadri anavyotaka.

hivi Mwita Maranya wafikiri wanaume kuridhika kitandani ndo sababisho la kutotoka nje hadi limuwazishe mwanamke?
 
Last edited by a moderator:
to be honest, me hta km nimechoka kuna sehemu nkishikwa tu huwa nachanganyikiwa, uchovu wote kuleee ila nikimaliza ndo uchovu unarudi kwa kas ya ajabu. . . kama nikifake ntaja umia mwenyewe make wkt na-fake lazma ntashikwa paale gear zangu zilipo na zikiamshwa tu lazima gari liendeshwe mpk mwisho wa safari. . .

Pia wakati mwingine kumwambia umpendae kuwa "ukinishika hapa kwa style hii nasikia raha",inarahisisha kazi,au siyo CL?
 
Kiukweli kwenye sex,aibu ni kitu ambacho kinaondoa utam na starehe yote ya tendo,mnapokuwa huru bila kuoneana haya mambo huwa matam sana.Unamwambia papasa hapa,cheza na mike hivi,pitisha ulimi hapa,tena unamsaidia kujua maeneo muhimu.Nyakati flan hivi kabla sijaamua kuwa single,niliwahi kumpata dada mmoja hivi,yeye alichokua anajua ni kulala chali baasi,yaani mpaka inakera!

sasa unafikiri aibu hii husababishwa na nini Eiyer? manake lazima kuna sababu nyuma yake.
 
Last edited by a moderator:
aisee mkuu wapo manake wengine watajua kwama kuna kilele kwa kuskia stori ila kufikia hawajawah kabisa. na wapo ambao walikuwa anafika ila kwasasa wako na watu wasioweza kuwafikisha. manake ili ufike lazima nyote mpatisipate vyema ktk tendo tena mkaka ndo awe key player akontrol game vzr zaid kwani mama akikontrol baba atamaliza kabla.

Sasa huyo ambaye hajawahi kufika kileleni kabisa zaidi ya kusikia story tu si anaweza kuwamaliza wanaume mtaa mzima akikitafuta kilele?
 
wengi wanakuwa na woga / aibu zisizo na maana. kama umeshamvulia nguo unachoona aibu kumwambia ni nini? pale ktk tendo wote kwa pamoja mna-do ili kuenjoy, mwanamke anapaswa kuwa muwazi ili kuepusha mwendo mrefu katka game. na mwanaume vivyo hivyo. kama mmojawapo atakuwa kimya obvious game litakuwa na masafa marefu. but kama kila mmoja ata-participate vizuri game litakuwa tamu/zuri, lenye masafa mafupi. kwan ukimya husababisha wazo la lile tendo kuhama. unaweza kuwa una-do kumbe mwenzio anawaza kwingine!
 
snowhite big up sana tu. umenena ma dearest. lakini kweli inakuwaje hata mtu uish miaka kadhaa ndani ya mahusiano kweli ushindwe hata mara moja kufikia orgasm? ni sabababu hizo hizo ama ni maumbile?

maumbile?sijui lakini ila mi naamini kwetu sisi ni tofauti kidgo na wanaume since wao mpaka akuingilie ni lazima adinde ryt?lakini mwanamke utayari wake ni katika kuwa wet si ndio?sasa iwapo mwanamke ameshafika hapo mengine ni kujiachia tu hisia zinatiririka na mambo yanajiset!sasa kama hayo mamabo niliyoainisha hapo juu yapo kwenye hiyo ndoa ni lazima mwanamke asifike kilele au asijue kilele ni nini?sasa ngoma uikute kwa mtu alikwa anapigwa maji vizuri af aolewe na mtu si mjuvi wa mambo walahi utamuonea huruma huyo dada wa watu!ndo mwanzo wa wamama aged kuanza kutaka vijana au kuwa wasagaji kabisa since anahisi anakuwa huru kabisa !hio japo si suluhisho lakini wengi wanajikuta kwenye huo mkumbo kwa sababu ndani haridhishwi!kumbe dawa ya kuridhika pengine anayo mwenyewe,na ni kisasi cha kuitrigger tu mambo poa!mi nafikiri hili liwe na somo la wanawake on how to enjoy it wakati pia wanawaridhisha waume zao !na somo kwa wanaume liwe katika kuwafikiria wake zao sio tu swala la kufika mshindo na kugeukia upande wa pili kupiga usingizi!
 
thatz ma cute sis. unajua kila mtu ana mahali akishikwa lazima mwili ulegee hata kama hana tamaa na hayo mambo na yuko faraghani. sasa pia kuna waaume wengine jamani hawajui washike wapi kwenye miili yetu wengine wakishika ni kama wanaugomvi hadi unajaihisi wa nini huyu lol! mwingine akipanda kukuna nazi basi ata-nje ndani kama anakimbia marathon matokeo yake ni mwanamke kumfake ili amalize aondoke zake.

hapo unatakiwa kumwambia me napenda kufanyiwa hv, nenda taratbu n.k
 
Sasa huyo ambaye hajawahi kufika kileleni kabisa zaidi ya kusikia story tu si anaweza kuwamaliza wanaume mtaa mzima akikitafuta kilele?

aisee hiyo posibiliti ipo lkn pia wengi huona aibu kabisa na hata kudiriki kusema mimi siwez kucheat kwasababu najisumbua tu siwez kufika kileleni. lkn mwenye tatizo hapa ni mwanaume manake kama ni mkeo utamkuniaje nazi tu? jamani humwandai vyema?
 
Pia wakati mwingine kumwambia umpendae kuwa "ukinishika hapa kwa style hii nasikia raha",inarahisisha kazi,au siyo CL?

for sure.. . . yan unakuta mtu umeshavulia nguo et bado unaona aibu khaaaa. . . wengine mshipa wa aibu ushakufa ati. . me huwa nafunguka tu, ukiniona wa ajabu shaurilo!
 
sasa unafikiri aibu hii husababishwa na nini Eiyer? manake lazima kuna sababu nyuma yake.

kutojikubali na kujiamini,yani kuna watu hawako proud kabisa na miili yao,kisa labda alishaaminishwa kuwa mwanamke wa aina fulani ndo mzuri,au alishazaa,mimi hakuna kitu kinaniudhi kama nimkute mtu anajiachia kisa amezaa na kuuona mwili wake hauvutii tena sio kweli jamani,hilo tumbo unaloliona limekuwa kubwa ndio hilo lilimfanya huyo mwanaume aitwe baba,ana hayo maziwa unayo dhani yameanguka ndiyo yalionyonyesha viumbe anaowaita wanaa ladies!be proud of ur self!jivunie mwili wako onyesha kama unaupenda!nae ataupenda pia
 
maumbile?sijui lakini ila mi naamini kwetu sisi ni tofauti kidgo na wanaume since wao mpaka akuingilie ni lazima adinde ryt?lakini mwanamke utayari wake ni katika kuwa wet si ndio?sasa iwapo mwanamke ameshafika hapo mengine ni kujiachia tu hisia zinatiririka na mambo yanajiset!sasa kama hayo mamabo niliyoainisha hapo juu yapo kwenye hiyo ndoa ni lazima mwanamke asifike kilele au asijue kilele ni nini?sasa ngoma uikute kwa mtu alikwa anapigwa maji vizuri af aolewe na mtu si mjuvi wa mambo walahi utamuonea huruma huyo dada wa watu!ndo mwanzo wa wamama aged kuanza kutaka vijana au kuwa wasagaji kabisa since anahisi anakuwa huru kabisa !hio japo si suluhisho lakini wengi wanajikuta kwenye huo mkumbo kwa sababu ndani haridhishwi!kumbe dawa ya kuridhika pengine anayo mwenyewe,na ni kisasi cha kuitrigger tu mambo poa!mi nafikiri hili liwe na somo la wanawake on how to enjoy it wakati pia wanawaridhisha waume zao !na somo kwa wanaume liwe katika kuwafikiria wake zao sio tu swala la kufika mshindo na kugeukia upande wa pili kupiga usingizi!

unajua ili uwe wet si swala la mwanaume tu bali hta wewe mama kukuli manake nijuavyo kuna muda ukiongea tu na mtu wako maneno matam tayari unakuta unaanza kuwa wetted. so hapa hisia za mama mwenyewe zina husu sna tu.
 
Back
Top Bottom