CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,250
- 12,868
kwenye kuukubali mwili hili ni tatizo hasa kwa wale ambao hawawez kujikeep vizuri kwa kufanya mazoez na kuepuka manyamauembe. lkn pia mtu unapaswa ujikubali ulivyo kisha unajiachia kwenye 18 kama vile unapiga penalt sasa unaweza kukuta mtu hata kuogeshwa hataki kisa aibu. jamani miye mama kama huyu nitaanza kumuogesha mimi kwanza ili kufukuza aibu zake.kutojikubali na kujiamini,yani kuna watu hawako proud kabisa na miili yao,kisa labda alishaaminishwa kuwa mwanamke wa aina fulani ndo mzuri,au alishazaa,mimi hakuna kitu kinaniudhi kama nimkute mtu anajiachia kisa amezaa na kuuona mwili wake hauvutii tena sio kweli jamani,hilo tumbo unaloliona limekuwa kubwa ndio hilo lilimfanya huyo mwanaume aitwe baba,ana hayo maziwa unayo dhani yameanguka ndiyo yalionyonyesha viumbe anaowaita wanaa ladies!be proud of ur self!jivunie mwili wako onyesha kama unaupenda!nae ataupenda pia
unajua ili uwe wet si swala la mwanaume tu bali hta wewe mama kukuli manake nijuavyo kuna muda ukiongea tu na mtu wako maneno matam tayari unakuta unaanza kuwa wetted. so hapa hisia za mama mwenyewe zina husu sna tu.
snowhite well said, kuna wanaume ni wabinafsi kweli. ye akifika tu ni usingiz wallah me ckuachi ulale mpk gari langu nalo lifike lol. . .
hivi Mwita Maranya wafikiri wanaume kuridhika kitandani ndo sababisho la kutotoka nje hadi limuwazishe mwanamke?
kwenye kuukubali mwili hili ni tatizo hasa kwa wale ambao hawawez kujikeep vizuri kwa kufanya mazoez na kuepuka manyamauembe. lkn pia mtu unapaswa ujikubali ulivyo kisha unajiachia kwenye 18 kama vile unapiga penalt sasa unaweza kukuta mtu hata kuogeshwa hataki kisa aibu. jamani miye mama kama huyu nitaanza kumuogesha mimi kwanza ili kufukuza aibu zake.
kujitambua si ana kioo kwake avue nguo abaki uchi kisha ajithaminishe ajione kwamba yeye ni kitu bora na chema kisha akubali mwili wake utumke kutoa raha atii.ahahahahahahahha wala sio utani mwalimu!lakini ni swala la kujitambua zaidi kwa mdada!kitu ambacho wengi wanalack sasa hapo nashindwa kuyalaumu maumbile kuwa ndio sababu !
sasa unafikiri aibu hii husababishwa na nini Eiyer? manake lazima kuna sababu nyuma yake.
na mimi ndio mana nataka tujuzane hapa kwanini hawako huru kiaasi hicho?
for sure.. . . yan unakuta mtu umeshavulia nguo et bado unaona aibu khaaaa. . . wengine mshipa wa aibu ushakufa ati. . me huwa nafunguka tu, ukiniona wa ajabu shaurilo!
gfsonwin kwa maoni yangu mila na tamaduni zetu waafrika zina mchango mkubwa sana katika hili suala. Kwa sababu kuna vitu tunashindwa kufanyiana kwa sababu ya kuhofia kuonekana malaya ama mhuni. Hii ninaifahamu kwa uhakika kwa uzoefu nilionao from kabila langu.
Kitu kingine ambacho bado najaribu kupata usahihi wake ni kwamba kwa waliooa na kuolewa wanakuwa huru zaidi katika 6 kwa 6 wanapokuwa na mahawara kuliko waume zao na wake zao.
Believe me or not wanaume wengi wasioridhika na huduma za 6 kwa 6 toka kwa wake zao ama wapenzi wao ndio wengi wanaotafuta mpango wa kando. Ushawahi kujiuliza kwanini wanawake wanaofanya biashara ya ngono wanagombaniwa na wanaume kila uchao?
Mwita Maranya umenena sahihi, kwamba wengi wa anawake wanakua oppressed na hizi mila lkn ifike mahali mume amwambie mkewe kwa wazi kabisa kwamba aseme anataka nini na yeye ni mumewe atamfanyia. tatizo wababa wengine wakiambiwa hukurupuka kuona kama anadhalilishwa ama anafundishwa kitu cha kufanya hii ni mbaya sana.gfsonwin kwa maoni yangu mila na tamaduni zetu waafrika zina mchango mkubwa sana katika hili suala. Kwa sababu kuna vitu tunashindwa kufanyiana kwa sababu ya kuhofia kuonekana malaya ama mhuni. Hii ninaifahamu kwa uhakika kwa uzoefu nilionao from kabila langu.
Kitu kingine ambacho bado najaribu kupata usahihi wake ni kwamba kwa waliooa na kuolewa wanakuwa huru zaidi katika 6 kwa 6 wanapokuwa na mahawara kuliko waume zao na wake zao.
Believe me or not wanaume wengi wasioridhika na huduma za 6 kwa 6 toka kwa wake zao ama wapenzi wao ndio wengi wanaotafuta mpango wa kando. Ushawahi kujiuliza kwanini wanawake wanaofanya biashara ya ngono wanagombaniwa na wanaume kila uchao?
snowhite well said, kuna wanaume ni wabinafsi kweli. ye akifika tu ni usingiz wallah me ckuachi ulale mpk gari langu nalo lifike lol. . .
Kwanza ni Aibu,
Mwanamke wa Kiafrika aibu ni jambo la kawaida sana!! Yaani mnaweza mkawa mmezoeana sana lakini still kunako nanii akakuonea aibu!!
Pili ni Mapozi,
Wengine wanaona kama akitoa ushirikiano wa kutosha basi mwanaume utakua umemfaidi sana!! Tena ambao hawajaolewa ndio kabisaa wana mchezo huu, maana wanakua hawaijiamini!!
Tatu Ushamba,
Mwanamke mwengine hajui afanyaje ili amridhishe mwenzie. Yaani hajafundishwa wala kuhangaika kujifunza how to handle a man kunako 6x6.
Nne Maandalizi hafifu.
Wakati mwanaume unapokua "umepasha" vya kutosha kuingia uwanjani, mwanamke anaweza kua bado mkaishia kucheza mechi "ya upande mmoja"
Kwanza maumbile kama hayako sawa,kwa maana ya kutokuuamini mwili wake,pia zipo aibu za kutokuzoeana,na kuna wengine kutokujua cha kufanya ila kuna wale ambao wako hivyo hawa nd hovyo zaidi!
Eiyer maumbile hayako sawa??? sikuelewi kilema ama?