Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,068
Wapendwa, l don't like my nose, l think it too big n a little crooked and l hate it! I love the rest of my body! Je naweza kufanyiwa rhinoplasty hapa nchini au East Africa? Na gharama yake ikoje?
Thanks!
Kulikuwa kuna Professor mmoja plastic surgeon wa kiMisri pale Muhimbili, he was phenomenal...alimtengeneza dada fulani toka Mbeya lips kwa kutumia kinyama toka huko 'downsatirs' (huyu dada laipata ajali akapoteza kabisa lips zake zote), alizitengeneza vile yule dada alivyotaka ziwe.. Sijui kama bado yupo hapo, alikuwa anafanya na surgeon wa kiTanzania anaitwa Dr Rwanyuma, najua Rwanyuma baso yupo Muhimbili, jaribu kumtafuta.