Je kuna plastic surgeon mzuri Dar? I need a nose job!

Hahahaha lolz
Jinsi ulivyosema dahh..
Ni kweli lakini nna rafiki yangu
Alienda Thai alikuwa mnene haswa<
. Karudi mie nnae pigika gym kidogo nilie..

Mwezi mmoja tu .. niajabu mtu yuko ka
Mzinga kesho anakupigia Bikini..

WaThai noma kweli....kuna kipindi hua naangalia nabaki nashangaa!!

Nimewaandikia, watanitumia their package cost within 24 hrs; so l will see!
Una testimony ya friends walioenda huko, wanasemaje?
Angalia online utajua mengi...wapi kuzuri..,wapi bei na kazi zao za kuridhisha ...wapi wanalipua.

Nimeona kuna forum kabisa maalumu kwa haya mambo tu!!

Nimewaandikia, watanitumia their package cost within 24 hrs; so l will see!

Una testimony ya friends walioenda huko, wanasemaje?

Kwa kweli kapendeza haswa sasa hivi..
Kila kitu kilienda kama alivyopanga
Alipata huduma nzuri sana baada ya
Surgery ....
Ye alienda kwa holiday hajatuambia
Kuhusu surgery karudi tuko midomo wazi..

Angalia usije ukawa kama MJ, Kwanini usijikubali tu mkuu?

Kujikubali is one thing, to do something about it ni another! Science imeadvance sio kama enzi za MJ alivyofanya, again kuna namna nyingi tu na zingine so shida sana! Ukigusa bones ndipo kuna shida!

Thanks kwa ushauri anyway!

Hahahaha lolz
Jinsi ulivyosema dahh..
Ni kweli lakini nna rafiki yangu
Alienda Thai alikuwa mnene haswa
. Karudi mie nnae pigika gym kidogo nilie..
Mwezi mmoja tu .. niajabu mtu yuko ka
Mzinga kesho anakupigia Bikini..

India ni kiboko, ila watu wanadharau
bei rahisi sana, wale watu ni kiboko
nilimpeleka ndugu alikuwa na matatizo ya goti,
mie nilikuwa kama attendant wake,akakataliwa kufanyiwa surgery
coz ya uzito, alikuwa na kila 180 unaweza amini? na ndio maana alikuwa haponi goti
kafanyiwa kwa sasa ana kilo 100 na anazidi kupungua, sijui wamebana utumbo
huko anasubiri awe na kilo tisini akatibiwe goti

kwa hapa trauma masaki wanafanya kila kitu, hospital ya kimarekani

Kwa kweli kapendeza haswa sasa hivi..
Kila kitu kilienda kama alivyopanga
Alipata huduma nzuri sana baada ya
Surgery ....
Ye alienda kwa holiday hajatuambia
Kuhusu surgery karudi tuko midomo wazi..
Mbona mie sijawahi sikia kuhusu huko thai?
ina maana ni wataalam sana kuliko kwengine duniani?
au ni urahisi tu wa bei embu funguka kwa faida ya wengi

Mbona mie sijawahi sikia kuhusu huko thai?
ina maana ni wataalam sana kuliko kwengine duniani?
au ni urahisi tu wa bei embu funguka kwa faida ya wengi

well
kwa maelezo yake
yeye alienda sehemu inayoitwa Phuket thailand
na alikaa Millennium resort ambapo kwenye hiyo motel
kuna kila kitu pamoja na ma nurse ambao walikuwa wanamwangali
baada ya surgery ..
Phuket International Aesthetic Center ndio hospital
aliyofanyiwa surgery (alifanya tummy tuck na kunyanyua matiti)
yeye hakuangalia sana bei ... ...... alichotaka ni surgery ..

well
kwa maelezo yake
yeye alienda sehemu inayoitwa Phuket thailand
na alikaa Millennium resort ambapo kwenye hiyo motel
kuna kila kitu pamoja na ma nurse ambao walikuwa wanamwangali
baada ya surgery ..
Phuket International Aesthetic Center ndio hospital
aliyofanyiwa surgery (alifanya tummy tuck na kunyanyua matiti)
yeye hakuangalia sana bei ... ...... alichotaka ni surgery ..

Ok poa hv tummy tuck baada ya operation tumbo halitepeti

hivi umem consult mumeo/bf kwanza

unaweza kupata pua mpya halafu.....
ukaanza shughuli ya kutafuta mume mpya pia lol
ukarudi tena hapa lol

inaonesha hii kazi itakuwa dili kwa wanawake wa kibongo! Ngoja nihamasishe vjana wangu wakasomee tuje tuanze kuwa..... Kuwafanyia kazi.

Boss
Why should l? It is my nose not his! Ni kumjulisha tu! Nitampoza kwa kumwambia niongeza na matiti, l am sure atalainika! Akiniacha weye si upo, l know u love cheating! LOL!

Black berry tell me more kuhusu hiyo ya Masaki; contacts zao if possible!

Ndudu yangu ni bora ukabaki na pua yako ilivyo hivi sasa. Hakuna guarantee kwamba matokeo ya plastic surgery yatakuridhisha - waweza kuhitaji nyingine tena kufanya usahihi!

Kweli bana maana hata ukitaka kunyoa nywele umapenda uende kwa kinyozi aliye/uliye mzoea, sasa mdau anataka akachonge pua kwa mtu ambaye hajawahi kutana naye, akimtoa vibaya itakuwaje, maana bora ya kichwa unaweza kuvaa kofia kwa muda

Black berry tell me more kuhusu hiyo ya Masaki; contacts zao if possible!
The Trauma Centre

Email Address: Click to Email
Phone #: +255 (0) 22 260 2500
Other Phone #: +255 (0) 22 260 2501
Area: Dar Es Salaam
Website: Go to Website

About The Trauma Centre: The Trauma Centre is a provider of world class private healthcare services in Dar es Salaam. The Centre offers full range of health services provided by well trained staff equipped with the latest in medical technology.

AMI boutique hospitals and trauma centres are specifically designed with your wellbeing and health in mind. The boutique model means that each one of the 30 high class beds is individually equipped with the latest in medical technology.

Our top priority is to nurture you back to health, because you deserve only the best.

Location/Directions: We are located at Plot 589 Yacht Club Road, Msasani Peninsula

Back
Top Bottom