The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,886
Suali linabaki pale pale, hiyo roho mbaya inakuja ikiondoka?
Yaani leo anayo kwa kuwa ana mume anaembugudhi, mume akifa, roho mbaya inaondoka
Kwa hiyo ni sawa na kusema roho mbaya ni sawa na ugonjwa tu, unakuja ukiondoka
roho mbaya hupungua na kuongezeka
haiondoki kabisa
mfano nina roho mbaya sikupendi..
nikisikia umefukuzwa kazi..nanenepa
umepata kazi mpya bomba,nakonda...hivyo hivyo kila siku