Je, Kikwete atakwenda Ethiopia kumzika Zenawi?

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Inaonekana moja ya agenda kubwa wananchi wa Tanzania waliomchagulia jk ni kuhudhuria misiba ya viongozi barani
africa. badala ya kukaa nchini mwake kutatua matatizo makubwa yanayoikabili nchi yeye kutwa kuhudhuria misiba. kwa wale watakaosema ni kwa ajili ya kuimarisha diplomacy basi inabidi tujiulize kwanini marais wa kenya na Uganda hawafanyi hivyo ??
 
Meles Zenawi ni rafiki sn wa Tz pamoja na ukweli kuwa nchini kwake alikuwa na upinzani mkali.

Taarifa kutoka Adis Ababa zinasema kuwa kwa kipindi hiki cha msiba hata wapinzani wake wameguswa sana na wanaomboleza.

Ethiopia ni nchi inayothamini sn uasili na mila za Kiafrika, hivyo binafsi napenda tu JK aende akamzike MwanaAfrika huyu.

Tuende mbele turudi nyuma.
 
Inaonekana moja ya agenda kubwa wananchi wa Tanzania waliomchagulia jk ni kuhudhuria misiba ya viongozi barani
africa. badala ya kukaa nchini mwake kutatua matatizo makubwa yanayoikabili nchi yeye kutwa kuhudhuria misiba. kwa wale watakaosema ni kwa ajili ya kuimarisha diplomacy basi inabidi tujiulize kwanini marais wa kenya na Uganda hawafanyi hivyo ??
nimeikuta facebook jana
attachment.php
 
Attachments

  • Jk na msiba.png
    Jk na msiba.png
    4.9 KB · Views: 703
Inaonekana moja ya agenda kubwa wananchi wa Tanzania waliomchagulia jk ni kuhudhuria misiba ya viongozi barani
africa. badala ya kukaa nchini mwake kutatua matatizo makubwa yanayoikabili nchi yeye kutwa kuhudhuria misiba. kwa wale watakaosema ni kwa ajili ya kuimarisha diplomacy basi inabidi tujiulize kwanini marais wa kenya na Uganda hawafanyi hivyo ??

Unauliza makofi polisi, we subiri nadhani ameshafika Addis tayari kuratibu mazishi.
 
Anaye update safar za jkei hapa jf aongeze kwenye list moja kwa hata leo kwamba tayari safari nyingne jk ameshasafri
 
Mh. JK atakuwepo msibani Ethiopia, hii ni kutokana na ukweli kua sote tutaonja umauti, pia kwa kutokana na kutokuona umuhimu wa sensa na mawakala kugomea sensa kabla ya uamsho,ni vyema na haki kwenda kwa kua yuko katika kamati ya mazishi.
 
haaaa!!!! we unauliza uzi gun kwa askari magereza,ndege iko silencer utaratibu wa suti na travota unachukua nafasi,asiende wakati ameandaa mpaka mashairi kuhusu bwn zenawi.
 
unauliza makofi polisi? subiri utaona mwenyewe...atakuwa na bonge la delegation mpaka wenyewe tutachoka..akimaliza msiba ataenda kujifunza kilimo cha mchicha...
Inaonekana moja ya agenda kubwa wananchi wa Tanzania waliomchagulia jk ni kuhudhuria misiba ya viongozi barani
africa. badala ya kukaa nchini mwake kutatua matatizo makubwa yanayoikabili nchi yeye kutwa kuhudhuria misiba. kwa wale watakaosema ni kwa ajili ya kuimarisha diplomacy basi inabidi tujiulize kwanini marais wa kenya na Uganda hawafanyi hivyo ??
 
Hapo kama namuona anavyoshangilia safari, jamaa anapenda safari kupita tulivyokuwa wadogo tulivyokuwa tunachanganyikiwa na gari likipaki mbele yako. Sitashangaa nikiona kwenye profille yake kipengele cha hobby akawa amejaza 1.kusafiri 2. Travelling 3. Tour 4. Kutalii 5. Kutembelea ndugu, jamaa na Marafiki
 
Back
Top Bottom