Je Kanumba alifanya mapenzi kabla ya kifo chake?

Inawezekana,c mnajua nyie mkinywa nyagi then una chombo pembeni huwa hamrembi.
Mimi naamini,tena Mtoto mwenyewe Lulu alivyo mbichi,utamfaidijeee!
JF is never boring. Kazi kweli kweli. Kumbe maji meupe ya Chang'ombe yanaleta mzuka kwenye mambo fulani eeh? I'll try
 
hebu 2punguze kumjadili marehemu,haipendezi jaman,,hebu image angekua kaka yako,would u dare 2write or even 2talk lyk this?2fikie wakati 2we 2napima vi2 kabla ya kuvisema jaman....y dealing cwith smbody who iz no more?and so mimi na wewe ha2jajua mauti yata2kuta 2kiwa ktk khali gani.
 
Sasa haya yote ya nini ilihali mtu keshakufa? Mnataka mfanye nayo nini? Hivi hatuna kabisa mambo mengine ya kujadili hadi tubaki kusema hayohayo tu katika muundo tofautitofauti?

Habari huletwa na watu, acha wadau wamwage nini wanachofahamu kuhusu kifo cha kanumba, halafu baadae pumba na mchele vitatenganishwa, huu ndio wakati wa kuzungumzia kifo cha kanumba, issue bado mbichi kabisa halafu mnataka mjadala ufungwe, unaogopa nini, au wewe ndio yule mtu mashuhuri aliyepiga simu kwa lulu
 
Ebwana kweli sisi watanzania hatuna kazi au ndio uvivu maana shilingi inapolomoka kwakukosa misingi ya kiuchumi leo wote tuna kusanyika kumzika Kanumba kweli tubadilike watanzania jamani.
 
Kuna haja gani ya kuweka tetesi ilhali mtendwa yupo ? Kamwulize kule Ukonga halafu uandike ukweli.
 
hebu 2punguze kumjadili marehemu,haipendezi jaman,,hebu image angekua kaka yako,would u dare 2write or even 2talk lyk this?2fikie wakati 2we 2napima vi2 kabla ya kuvisema jaman....y dealing cwith smbody who iz no more?and so mimi na wewe ha2jajua mauti yata2kuta 2kiwa ktk khali gani.

Watu hujifunza kutokana na makosa yao wenyewe au ya wengine. Hili ni funzo kwa wale wenye tabia kama hizo wawe makini tabia zao zisije wapeleka kubaya.
 
Sasa haya yote ya nini ilihali mtu keshakufa? Mnataka mfanye nayo nini? Hivi hatuna kabisa mambo mengine ya kujadili hadi tubaki kusema hayohayo tu katika muundo tofautitofauti?

Yana haki kusemwa.
"the dead is always guilty" Ghanaian saying.
 
Hiyo ni sawa na inzi kufia kwenye kidonda, sio ajabu saaana if thats what happened. Mi nawaombatumuombee tu kijana mwenzetu a- R.I.P. Mi inaniuma sana kifo cha namna hiyo hupati hata muda wa kusema God forgive me, looh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom