Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania?

Kuna kabla lnafanana na wahaya lnaitwa wanyambo n nomaaa

Nimebahatika kuona binti wa kinyambo mmoja tu maishani mwangu na yupo bomba na mweupe ila kimo na mwili ndio bado kama maneno yako ila bado anakua, ..maneno yako nayakubali kubali vile...!
 
Wairaqw a.k.a Wambulu ni kwere man. Naona kura nyingi humu zimewaangukia wao. Sema maji mara moja! Kitendo bila kuchelewa. Ni chap!
 
Wanyamwez........tena natumia fursa hii km kuna mnyamwez humu ndan namhitaji......... coz ni warefu dizain flan Amazing..n.k
 
Kwa urembo wa umbo, shape, sura, waist line, bust line, leggy line, nywele, shingo, macho na miondoko, Wahangaza ndio wanaongoza, wameumbwa wakaumbika, wanatazama na kutazamika ila sijawahi kubahatika nao katika mbambo mengine.

Uzuri uko wa aina nyingi, uzuri wa mke ni tabia, uzuri wa mahitaji ni performance, na uzuri wa machoni ni kuona, inategemea uzuri gani unaoutaka wewe, kama ni ule uzuri wa kufurahisha macho, mbona wazuri kibao tuu tunawaona, wengi wala hawaolewi, wao kutwa kucha wanahangaika wakitanga na njia huku wapenzi wao macho juu juu, lakini kuna wazuri wa ndani kwa uzuri usiionekana, hao ndio hao wameolewa, waume zao wanapata raha na maisha yanasonga!
Siku ya Wanawake Duniani,
Wanawake Wote warembo, hongereni.
P
 
Nimepita milimani Mbulu na Babati Manyara,Wambulu na Wairaq ni wazuri sana,yani hapa tunazungumzia uzuri wa asili,no make ups no what,na ukimwangalia mwanamke unasema yes kuna wanawake wazuri Tanzania,sijui tu tabia zao...
 
Ile species ya Watsusi ni asili ya wapi?
Mbona wazuri saana??
Wahaya, Watutsi, Wahangaza, Waganda, Wanyankole, Watoro
ni jamii ya Interlucustrine walikuwa chini ya utawala wa Bunyoro Kingdom chini ya mfalme Kabaka. Wanawake wao ni wazuri, warembo na kwenye yale mengineyo ni hatari, very dangerous !.
P
 
Wahaya, Watutsi, Wahangaza, Waganda, Wanyankole, Watoro
ni jamii ya Interlucustrine walikuwa chini ya utawala wa Bunyoro Kingdom chini ya mfalme Kabaka. Wanawake wao ni wazuri, warembo na kwenye yale mengineyo ni hatari, very dangerous !.
P
Ni wazuri na wanavutia,
Wamepanda na shape wanazo! Hata kaka zao ni ma gentleman
 
Back
Top Bottom