Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania?

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,975
​Wanajanvi ninaomba mnisaidie katika utafiti wangu huu kujua ni kabila gani la kitanzania lenye wanawake warembo zaidi na ni kigezo gani hasa unachotumia katika utambuzi. Je, sura au umbo? au ni vyote kwa pamoja?

Tafadhali changia kama una mchango chanya.
REMEMBER:
It's better to be silent and thought a fool than to speak and remove all doubt.
 
makabila yote kuna warembo na wasio warembo...kwetu sisi wachaga, kuna wanawake warembo sana, na wengine pia wana sura za simba yaani juu wanene chini wembamba...ukienda kwa wasukuma wengine wazuri wengine wanawake wenye sura za kiume...etc....kila kabila kuna wanawake wazuri na wabaya...wairaq/wambuli etc, waarusha etc pia kuna wazuri na wabaya...
 
Kwa urembo wa umbo, shape, sura, waist line, bust line, leggy line, nywele, shingo, macho na miondoko, Wahangaza ndio wanaongoza, wameumbwa wakaumbika, wanatazama na kutazamika ila sijawahi kubahatika nao katika mbambo mengine.

Uzuri uko wa aina nyingi, uzuri wa mke ni tabia, uzuri wa mahitaji ni performance, na uzuri wa machoni ni kuona, inategemea uzuri gani unaoutaka wewe, kama ni ule uzuri wa kufurahisha macho, mbona wazuri kibao tuu tunawaona, wengi wala hawaolewi, wao kutwa kucha wanahangaika wakitanga na njia huku wapenzi wao macho juu juu, lakini kuna wazuri wa ndani kwa uzuri usiionekana, hao ndio hao wameolewa, waume zao wanapata raha na maisha yanasonga!
 
uzuri......
kabila......?????
sura..............????
umbo.......??????


mpita njia mie...................
 
Uzuri,
Urembo,
Utanashaji,
Ulimbwende ,
Uko kunako macho ya mtazamaji .
Nikionacho mie kirembo kwako wewe chaweza kua bogus au chakas! Na kinyume chake, kirembo kwako kwangu kikawa kituko!
 
Uzuri,
Urembo,
Utanashaji,
Ulimbwende ,
Uko kunako macho ya mtazamaji .
Nikionacho mie kirembo kwako wewe chaweza kua bogus au chakas! Na kinyume chake, kirembo kwako kwangu kikawa kituko!

Je, ni kipi ukionacho kilembo kati ya makabila ya kitanzania ili unisaidie katika utafiti wangu kielimu
 
Urembo kama ni kwa maana ya kuvutia macho ni mtazamo mtu binafsi panaweza kuonekana bora kwa mtazamo wa wengi lakin mmoja mmoja ukiwadadisi pemben utagundua tofauti, that is why people said kipendacho ni roho ya mtu, kwa sababu kila mtu anayake na hakuna two or more similar hearts that exists.
 
Back
Top Bottom