Je ID yako ya JF unauza sh ngapi?

Wifi, nimeacha kabisa kutumia nanilii,lol
Weye nadi tu, najua ukipata huo mshiko na mie somehow ntanufaika,lol

hahahaha..... Zako nitafuta Dearest....lol...

Ha ha ha! Nahisi hata thread akiifungulia tweeter sensors zako zitanasa! Rotfl!

Hata mimi nahisi hivo... I just don't know why, jina lake hutoa echoes of sounds iwe kwa keyboard ama sauti... Go figure...lol
 
.kwel kuna nnaemsubiria ninunue kwa bei yoyote ile tamka bas fanya fasta kabla sijaghairi. Najua unajijua ni........
 
Nitaku pm, subiri kwanza nimuulize invisible na MoDs kama ilishawahi pigwa BAN!

Ng'wanakidiku...FYI Paw ni kakangu, kuna Cookie pia.... Kumbuka kua ID yangu nyingine ni Roulette... Hao woote ni Super Moderators... Hivi unafikiri there is any chance of me Breaking the rules?? Naaaah! Mimi so mtiifu mpaka Ban sipati...

Haya basi fika bei....lol
 
hahahah, basi ngoja ni "log off" nitarudi!
 
Duduwasha yako utaunza ngapi Mkuu....lol.. Hebu inadi kidogo basi!
Hii kitu haiuzwi ukipata bure toa bure kama Wahaya wasemavyo vile. Mtu akiipenda nampa tu nachagua nyingine me hupenda nick mbaya mbaya tu kwenye Chat room ili nisipendwe.
 
Hii kitu haiuzwi ukipata bure toa bure kama Wahaya wasemavyo vile. Mtu akiipenda nampa tu nachagua nyingine me hupenda nick mbaya mbaya tu kwenye Chat room ili nisipendwe.

In other words unanigaia bure? lol...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom