Je ID yako ya JF unauza sh ngapi?

hahahah..... Mwali I am very dangerous.... I could be you ujue (labda nafanya hivi kuwachanganya tu! lol)
Nilijua utanambia vibaya, kumbe...Katika majibu yote sikutegemea hili! :lol:
Hivi hua unakasirika Aunty?
 
Hivi hua unakasirika Auntie?

Mwanzoni nilikua nakasirika saana.... As time went by nikagundua kua I am only linked with unique and Great personalities... Na members with great contributions hapa JF in one way or another.... Nikaja realise haitakiw nichukie.... it is an honor.

:focus:

Nishauri... nimeamua kuuza account, how much do you think iko worth kama kianzio?
 
Usiombe siku ukamuona kakasirika huyu! Ushawahi kuona simu ama laptop unasoma posts za jf afu inatoa vumbi, unapiga chafya tu? God forbid!
Nilijua utanambia vibaya, kumbe...Katika majibu yote sikutegemea hili! :lol:
Hivi hua unakasirika Aunty?
 
This is for ur ears only, hii I'd inatafutwa na na mafia mob, shhhhh! Isingekuwa kakako, wangeshanitenda ubaya
aaah' side effects zile za dawa mseto za kitoto.... Kwani kuna ubaya kweli? lol (hebu nipatie you best Wifi of mine...lol)
 
RR, asante sana kwa roho yako safi. Nnavyokupenda, I want you to have your I'd. So plz keep it, I will treasure this,lol
Kwa lugha ya watu wazima nimejua sio mimi, na kama sikosei tayari nimemjua huyo mwenye hiyo ID you want so badly... lol
 
Usiombe siku ukamuona kakasirika huyu! Ushawahi kuona simu ama laptop unasoma posts za jf afu inatoa vumbi, unapiga chafya tu? God forbid!

hahahaaha...... Dah! Wifi nahisi umenisingizia.... When did I ever kasirika like that?

Alafu umuulize na kaka Paw atauza JF a/c kwa kiasi gani, kuna watu wanipigia simu hapa...

This is for ur ears only, hii I'd inatafutwa na na mafia mob, shhhhh! Isingekuwa kakako, wangeshanitenda ubaya!

No wonder wewe peke yake ndio wamuweza kaka.... Mafia? Khaa!
 
Mwanzoni nilikua nakasirika saana.... As time went by nikagundua kua I am only linked with unique and Great personalities... Na members with great contributions hapa JF in one way or another.... Nikaja realise haitakiw nichukie.... it is an honor.

:focus:

Nishauri... nimeamua kuuza account, how much do you think iko worth kama kianzio?
Lahaullah wallah qwattah!
Usithubutu kuuza hiyo ID, hata ukitishiwa kufa.
Au basi kabla ya kuuza futa PM zoooooooote, hasa zile zenye kunihusu mimi na fulani... lol
 
Wewe sijawahi kukupigia hesabu hata ya kukukwapulia avatar yako, it suits you,lol!
Ila huyo nnayeitamani I'd yake wala humjui. Let's narrow this down; why do you think I'd want hiyo I'd?
Kwa lugha ya watu wazima nimejua sio mimi, na kama sikosei tayari nimemjua huyo mwenye hiyo ID you want so badly... lol
 
Usiombe siku ukamuona kakasirika huyu! Ushawahi kuona simu ama laptop unasoma posts za jf afu inatoa vumbi, unapiga chafya tu? God forbid!
Ni vitu gani vinapandisha hasira yake? leo nataka nimchokoze hadi apigwe Ban, akapumzike weekend! lol
 
Wewe sijawahi kukupigia hesabu hata ya kukukwapulia avatar yako, it suits you,lol!
Ila huyo nnayeitamani I'd yake wala humjui. Let's narrow this down; why do you think I'd want hiyo I'd?
Unaitaka sababu :gossip:....
Nimepatia?
 
Ni hatari, kumbe kuna watu wapo tayari kutoa ID zao bure! Kumbukeni kutuza ID zenu, hiyo ni mali na biashara!
 
Lahaullah wallah qwattah!
Usithubutu kuuza hiyo ID, hata ukitishiwa kufa.
Au basi kabla ya kuuza futa PM zoooooooote, hasa zile zenye kunihusu mimi na fulani... lol
Ipe bei mkuu! Elfu ishirini mia mbili tisini na sita?
 
Wifi, staki hata kukumbuka zile hasira zako, thanks to ur sweetie those days zimepita,lol!
Kakako PAW hawezi kuuza account,manake unajua ni kama Manji amfuate Mengi kununua assets zake, unajua tu anataka kufunga!
Afu ur bro is not that bad banaa, yeye ndo ananiweza na kunipa jeuri manake najua he can protect me however! Even against the mafia mob Lol
hahahaaha...... Dah! Wifi nahisi umenisingizia.... When did I ever kasirika like that?

Alafu umuulize na kaka Paw atauza JF a/c kwa kiasi gani, kuna watu wanipigia simu hapa...

No wonder wewe peke yake ndio wamuweza kaka.... Mafia? Khaa!
 
Lahaullah wallah qwattah!
Usithubutu kuuza hiyo ID, hata ukitishiwa kufa.
Au basi kabla ya kuuza futa PM zoooooooote, hasa zile zenye kunihusu mimi na fulani... lol

Dear ndio maana nikiuza nataka niuze kwa dakika 30 tu! Yaaan kiasi kwamba yule alo nunua awe overwhelmed kwa atakayoyakuta by the time anataka atulie aanze kuperuz mda unakua umeisha! lol.... My PMs zikiwa disclosed... ni beyond JF...lol... Ni hatari kwa afya ya most members...lol.. Mimi the most.
 
Niuzie basi!
 
Kwa lugha raisi: Ukimpa milioni, mimi nitampa milioni mbili anilindie siri.
ID kitu gani? si ni jina tu? ila PM sasa mama yangu weeeee....
Hahahahah!!! Basi ngoja ni PM ili anipe bei. halafu kasema ataiuza kwa dakika 30 tu!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom