Je huu ndio mwisho wa Julius Mtatiro?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Wakuu mniwie radhi kwa kuwa kulikuwa na post kutoka kwa Director hapa jamvini siku za nyuma kumuhusu huyu Mkuu Mtatiro lakini nimeitafuta kwa update sikuweza kuipata,kwa hiyo nimeamua kufungua mpya!

Mkuu Mtatiro unaweza kutueleza kuwa mwisho wako kisiasa unakaribia? naomba utueleze nini hatma yako kwa sasa hivi,tunajua boss wako Maalim atahamia ccm pamoja na kundi lake,,je wewe utahamia wapi?ile post iliyokuwa hapa siku za nyuma ilikushauri uende chadema,je utaelekea chadema au utaelekea wapi??

Nataka ujue tunakutazama kwa jicho la karibu sana!
 
anarudi ccm yule jamaa ana njaa sana,hatutaki viongozikama wale
 
Labda na yeye ataanzisha chama chake kipya!maana wote wanaojiengua tamko wanalotoa ni kuanzisha chama.RIP CUF
 
We topthinker CHADEMA haimtaki huyu jamaa kwa sababu hana busara kabisa. Hicho cheo cha katibu mkuu msaidizi kimemzidi sana (kimempwaya), akienda chadema awe mwanachama wa kawaida.
 
kwa jins CUF Ilivo nahc hyu jama kachaguliwa kwakua ni mtatiro na sio kwakua anatokea CUF so nahc akienda kokote he will make it..
 
tulisha sema hapa kuwa mwacheni mwezenu ale akienda huko mtampa hela ya kula msimdanganye mwenzenu
 
Mbona huyu jamaa hataki kwenda kueneza sera za CUF kwao Musoma vijijini (Kyabakari)?

Mtatiro yupo kifeza zaidi na si chama kwanza, mradi chama kipo basi hana shida na wanachama wapya mpaka pale chama kitakapokufa...kwa kifupi hana tofauti na Mbatia
 
Wakuu mniwie radhi kwa kuwa kulikuwa na post kutoka kwa Director hapa jamvini siku za nyuma kumuhusu huyu Mkuu Mtatiro lakini nimeitafuta kwa update sikuweza kuipata,kwa hiyo nimeamua kufungua mpya!
Mkuu Mtatiro unaweza kutueleza kuwa mwisho wako kisiasa unakaribia? naomba utueleze nini hatma yako kwa sasa hivi,tunajua boss wako Maalim atahamia ccm pamoja na kundi lake,,je wewe utahamia wapi?ile post iliyokuwa hapa siku za nyuma ilikushauri uende chadema,je utaelekea chadema au utaelekea wapi??nataka ujue tunakutazama kwa jicho la karibu sana!
Hapo kwenye highlight, tunaweza kupata taarifa zaidi kuhusu hilo?
 
Iko siku jamaa atafunguka akili na kujiunga cdm. Hiki kichwa kinapoteza muda sana cdm, sijui kwanini ameshindwa kusoma lama za nyakati. Itatiro njoo chadema, ngoma iko huku mbona husikii wewe?
 
Akiwa mwanafunzi pale MLIMANI alikuwa ni mpiganaji wa kweli na wengi tulimuunga mkono LAKINI amepotea njia ama kwa kutoona mbali au kwa tamaa ya madaraka.Kama ni kwa kutokuona mbali ninaimani atakuja CHADEMA muda si mrefu.Chama kile kimepoteza taswira ya kitaifa na kubakia chama cha kidini na cha wenye uroho wa madaraka na fedha.
 
anatangatanga jangwani bado hajaiona njia ya kwenda kaanani ambayo ni cdm, kwayo wengi twatazamia kufika mtatiro hajaiona bado.
 
Maneno ya Mtatiro baada ya uchaguzi wa Igunga.

".........Mimi kama kiongozi wa ngazi ya juu wa CUF - Tanzania Bara(Bila kujali nimekuwa kiongozi wa ngazi ya juu miezi minne tu iliyopita tu) nabeba dhamana kwa matokeo yote tuliyopita, najitwika mzigo wa kusimama imara kuiimarisha CUF. Sitatoka CUF na kukimbilia kwenye vyama vyenye nguvu Tanzania bara kama CHADEMA n.k. eti kwa sababu tu CUF imefanya vibaya kwenye uchaguzi. Ninaamini katika CUF na nitaisaidia Tanzania yangu nikiwa CUF, ninaamini siku moja wakati CUF imeimarika nitatajwa kati ya watu ambao hawakukata tamaa na hawakuyumbishwa na magumu yaliyowakabili na walisimama kidete kwenda mbele."
 
Back
Top Bottom