Je hii ni halali?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
525853_339356419473025_1598909652_n.jpg
 
Si kama unavyotaka ieleweke, meza tu imekuwa ndogo ikabidi iongezwe meza nyingine ndogo kuwekea vilivyozidi.
 
Hiyo ni buffet.....kwani hamjakwenda kwenye 5 star hotel mkakuta kama hayo
 
Hata six star hotel sio hivo bana, Khaaaa! After first course vitu vinaondolewa then inaletwa main course then dessert. But sio hivo, yaani hadi chakula cha mlo wa jioni kishawekwa mezani., khaa
 
Sasa hapo niambie chakula gani cha jioni, au ndio wale wa ugali ni mchana na wali ni wa usiku. Umeshaenda huko 6 stars mchana mbona wanaweka mikate ambapo ni chakula cha asubuhi.
 
.
Huyo ndio MadameX kama MadameX

Kwa maelezo zaidi soma signature ya MadamX
.

Hapana, huyo Maza ni Mjamzito, kwa hiyo kimila kuna vyakula vingi ni mwiko kwake kula, km akila mayai atazaa mtoto asiye na nywele nk kawekewa njugu mawe na humo mlimofunikwa mna matoke tu!
 
Back
Top Bottom