Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

Delete utumbo wako huu. Nyie walokole mna shida sana
Najivunia kwa ku "share" kile ambacho kinaonekana kuwa kama utumbo kutokana na upofu wako, wewe usiyejua kitu chochote kile kinachoendelea katika dunia hii.
 
Itafika muda sasa itakuwa sio EAC tena bali ECNAC (East, Central and North Africa.....)...

Jinsi nchi zinavyoongezekana, malengo ya awali ya EAC ni kama yanzidi kupoteza uelekeo au ugumu kuyafikia...
Tuunde tena ka-umoja ketu ka Afrika Mashariki, Jumuiya ya Afrika Mashariki Asilia, Kenya, Tanzania na Uganda.
 
Ni faida kwa waliolala ili waamshwe
Huku Somalia na waje Ethiopia, mbona mtaamka tu maana hata mwendokasi mmeshindwa
Acha waje wasaidie mengi
Wasomali wameisha Anza kuingia Kenya kwa makundi
Na nyie kutwa kukamata wahabeshi kwenye V8
Naona wajiunge tu V8 zikose dili
 
Ethiopia watafaidika zaid. Watapita free kwenda south Africa bila kukamatwa nk. Nini maana ya kuwa na East Africa hii kama Rwanda wanapigana huko Congo?
Hao wahamiaji haramu ndio watafaidi nchi haifaidiki na wahamiaji haramu
 
Ni faida kwa waliolala ili waamshwe
Huku Somalia na waje Ethiopia, mbona mtaamka tu maana hata mwendokasi mmeshindwa
Acha waje wasaidie mengi
Wasomali wameisha Anza kuingia Kenya kwa makundi
Na nyie kutwa kukamata wahabeshi kwenye V8
Naona wajiunge tu V8 zikose dili
Ha ha ha nchi imelala sana hii kaka
 
Ha ha ha nchi imelala sana hii kaka
Yaani hela zinazopigwa angekuwepo mtu wa kuokoa hata robo tu
Kwa hakika mgefika mbali ila ndio hivyo hata wanawake wanaiba huko 1b kawaida sana
Ukiwa Mkurugenzi lazima upige
Yaani hakuna uzalendo kabisa mpaka unasema hivi wanamkomoa nani?
Aisee
 
Back
Top Bottom