Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,144
- 2,782
Saivi unaweza kwenda kuchukua watoto wa kisomali na ethiopiaHivi umuhimu wa hii jumuiya mpaka sasa ni upi?
This is good news, acha twende mdogo mdogo, mpaka Africa nzima, tuwe nchi moja ya United States of Africa, USAf.Ethiopia is set to become the 9th member state of East Africa Community (EAC), just a few months after Somali's admission to the bloc. This was disclosed by Peninah Malonza, the Cabinet Secretary for Ministry of EAC, Arid and Semi-arid Lands and Regional Development.
#HONGERA RAIS WETU.
Unafaida kubwa mno, hasa katika biashara mbalimbali za mipakani, we lima kwa bidii tu, mjukuu wangu.Hivi umuhimu wa hii jumuiya mpaka sasa ni upi? Ukiilinganisha na Jumuiya nyingine kama EU, EAC ni kama mkusanyiko wa kima wasio na akili wala mapatano ya pamoja.
Bottom line: unamshukuru Rais ndo mmiliki wa EAC?
Yaani wewe mawazo yako yotee, yamekalia kwenye asali kongwe, 😀Saivi unaweza kwenda kuchukua watoto wa kisomali na ethiopia
Wababe washachungulia wanawapakia tu kwenye vx, kwa Ethiopia kujiunga italazimu sheria fulani fulani ziwe installed, kwa jinsi hao ndugu zetu wanavyokimbia makwao.This is good news, acha twende mdogo mdogo, mpaka Africa nzima, tuwe nchi moja ya United States of Africa USAf.
P
Ni kwei kama saizi nchi kamq rwanda na somalia zimeingia hakukalikiItafika muda sasa itakuwa sio EAC tena bali ECNAC (East, Central and North Africa.....)...
Jinsi nchi zinavyoongezekana, malengo ya awali ya EAC ni kama yanzidi kupoteza uelekeo au ugumu kuyafikia...
Hii jumuiya ya EAC sijui Ina nini, mbona nchi nyingi zinataka kujiunga nao? Mbona hii wing itaweaken AU?Ethiopia is set to become the 9th member state of East Africa Community (EAC), just a few months after Somali's admission to the bloc. This was disclosed by Peninah Malonza, the Cabinet Secretary for Ministry of EAC, Arid and Semi-arid Lands and Regional Development.
#HONGERA RAIS WETU.
#Wosia wangu miye ambaye eid imeniendea mrama, tulime kupitiliza mazao mbalimbali, mtaja nikumbuka miye babu yenu, wenzetu wana Arid lands hao.
Zikisha kua nchi za wengi mqmbo huwa hivoMimi bado na kwazika na secretariat ya EAC, zile core objectives ambazo ni: facilitating free movement ya watu na capital, monetary union and eventually federation bado hatujazifikia tunahangaika kujaza nchi, tena nchi zenye migogoro ya ndani.
Hawa watu hawajitambui
Ethiopia watafaidika zaid. Watapita free kwenda south Africa bila kukamatwa nk. Nini maana ya kuwa na East Africa hii kama Rwanda wanapigana huko Congo?Ethiopia inataka kujiunga na EAC?
Nini madhara na faida?
Je Tanzania na Kenya zitakua bado na sauti ndani ya EAC au ndio mvurugano utaongezeka?
Rwanda ni nchi ya hovyoEthiopia watafaidika zaid. Watapita free kwenda south Africa bila kukamatwa nk. Nini maana ya kuwa na East Africa hii kama Rwanda wanapigana huko Congo?
Ngoja nichimbe deep ntakuletea Ila kwa haraka haraka..Hivi umuhimu wa hii jumuiya mpaka sasa ni upi?
Delete utumbo wako huu. Nyie walokole mna shida sanaIt seems to many like a conspiracy theory but this is a sure event, one world government will soon be unveiled.
Dunia ili itawalike vyema ni lazima igawanywe katika majimbo 10 ya kidunia. Na kila jimbo litakuwa na mtawala wake mmoja wa juu. Sub Sahara Africa itakuwa mojawapo wa jimbo hilo.
Michakato mingi imekwisha na inaendelea kufanyika ili kukamilisha ajenda hii. Suala ni muda tu ili kufanikisha kile kinachopigiwa upatu na mabwana wa dunia hii, eti "ili kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kwa wanadamu wote".
Sanamu ya mnyama mwenye vichwa vinne, na pembe 10 imekwishawekwa katika ofisi za UN HQ, New York - USA. Hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya juu ya sura ya dunia yetu, kila jambo limepangiliwa kimkakati na huja kutokana na matakwa ya wakati. Beware.