Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,517
- 4,987
slaa hawezi kuwa raisi hana vigezo
Narudia tena jenga hoja. Na si kila thread lazima uchangie!
slaa hawezi kuwa raisi hana vigezo
Heshima mbele Mkuu Kalunguine: TandaleOne ni ID yako nyingine humu JF? Umeweka hiyo topic yako saa 12.44 na dakika moja baadaye yaani 12.45 TandaleOne akaijibu kwa kukuunga mkono! Inawezekana hii? Alikuwa anaisubiri topic?
Mwandish Bollen Ngetti aliandika"mtu huwezi kuamka tu usingizini na na kutaka kuchaguliwa kuwa rais wa nchi hasa kwa nchi changa kama hizi za dunia ya tatu ( na Tanzania ikiwemo) bali yapo mazingira yanayomuandaa mtu ndani na nje ya nchi kuwa mkuu wa nchi.

kama vile slaa alivyo mkware wa wake za watu na mwizi wa mali za kanisa ( mungu ) mpaka kafukuzwa upadre mwaka 1994