Mnyonge Namba1
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 402
- 81
Wana jf,Kufuatia kibano kikali ilichopata serikali toka kwa bunge letu likichochewa zaidi na Makamanda wetu wa CHADEMA,tulijionea wenyewe tofauti kati ya mzalendo halisi na mzalendo wa maneno matupu kupitia ccm.Vitendo ndo njia pekee kudhihirisha contents za mtu husika.DEO alisaini waraka wa Zitto na January hakusaini.
Najiuliza sipati jibu kuwa nani zaidi kati ya wanasiasa hawa vijana?.Sijalenga kumkweza mmoja wao kwakuwa wote hawa kwa pamoja hawamfikii T/Lissu hata robo,bali nimefikiria kizalendo zaidi na sijapata jibu kamili. NAWASILISHA KWENU WANAJAMVI KWA MSAADA WA MAWAZO NA MAJIBU THABITI