Chawa vs Mchwa: Nani ni hatari zaidi kwa Siasa na Uchumi wa nchi yetu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,112
Mchwa ni wale Watumishi ambao kucha kutwa kazi yao kubwa ni kifisadi Fedha za Miradi ya Maendeleo serikalini

Chawa ndio wale wapambe ambao kazi yao kubwa ni Kuwapamba viongozi wa kisiasa kwa Sifa za Uwongo ili wao wapate fursa za kupiga dili. Uchawa ni aina ya Ushetani unaowafanya Viongozi wapenda Sifa kupofushwa macho

Kikawaida Madilkteta ndio hujikuta wamezungukwa na Chawa mfano pale Chadema, TLP CUF, NCCR na ACT kwa ayatollah

Najiuliza Kati ya hawa Chawa wanaoharibu mfumo wa Utawala Bora na wale Mchwa nani ni " hatari" zaidi?
 
Back
Top Bottom