Je CCM itasimamisha mgombea urais 2015 kwa kigezo cha dini?

Mh, sijui, manake siri wanazjua wene chama, ce wapga kura tunaskiza, but it wil be gud if akawekwa m2 kauzu yani, anaejali maslah ya majority coz minorty jaman watavmba sasa wakiendlea kungangania kula. Pleas wazee wa ftna m2fkrie watanzania
 
Hao washakifanya chama chao, co che2 tena, yan hadi nimemmis babu, najua angeweka busara zake ktk selektion, du, Nyerere was the best to make decision
 
Watafuata kauli ya jukwaa la katiba la BAKWATA si ndo wenye chama hamkumbuki ya INGUNGA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom