Nyamgluu JF-Expert Member Mar 10, 2006 3,160 1,719 Jan 8, 2014 #101 uandishi wa jason bourne tofauti na yericko mbona?
zegebovu1 JF-Expert Member Nov 20, 2013 415 134 Jan 8, 2014 #102 Hata simjui ni mwanamziki wa wapi kwani?
Kyenju JF-Expert Member Jun 16, 2012 4,621 1,706 Jan 9, 2014 #103 zegebovu1 said: Hata simjui ni mwanamziki wa wapi kwani? Click to expand... Bila shaka hili siyo jukwaa lako.
zegebovu1 said: Hata simjui ni mwanamziki wa wapi kwani? Click to expand... Bila shaka hili siyo jukwaa lako.
Stroke JF-Expert Member Feb 17, 2012 34,698 40,977 Jan 9, 2014 #104 Kyenju said: Jamaa yupo tena nimesoma post yake ya kiuchunguzi kuhusu kifo cha Patrick Karegeya. Jamaa kashusha nondo ya ukweli. Click to expand... hiyo haikutasfiriwa kweli
Kyenju said: Jamaa yupo tena nimesoma post yake ya kiuchunguzi kuhusu kifo cha Patrick Karegeya. Jamaa kashusha nondo ya ukweli. Click to expand... hiyo haikutasfiriwa kweli
Mandown JF-Expert Member Apr 8, 2012 1,665 503 Jan 9, 2014 #105 Kama inafanana na ripoti ya siri ya inytelijensia ya CDM dhidi ya ZITTO
Kyenju JF-Expert Member Jun 16, 2012 4,621 1,706 Jan 9, 2014 #106 stroke said: hiyo haikutasfiriwa kweli Click to expand... Kweli kaitoa kule google.