Je, Aristotle ndie chawa tajiri Tanzania? Je, ni Mtanzania?

Endeleni kushupaza shingo eti sio nyumba yake...
Tafuteni hela siku hizi kuishi nyumba nzuri wtt kusoma vizuri kula vzr kuendesha gari zuri ndo maisha ya kijana wa kisasa tena katika umri mdogo..unafaidi maisha ukiwa na nguvu zako...cha msingi ni kipato halali na kisiwe kipato cha kujitoa utu wako..
Dear wee Aristoteee hana uwezo wa kuwa na hiyo mansion, hata na kugawa tunu yake badoo hawezii.

Anatafuta wapangaji hiyo nyumba
 
Yeye aishie kukuwadiana na mabwana na shost ake Uwoyaa bas, haya mengine yako nje ya uwezo wake.
Mxxxxxxiiiiieeeeeew
 
View attachment 2665289

Mwanzo Aristotle alikuwa ni msusi wa wanawake, baadaye akajiongeza kuuza weaving na wigs na wateja wake walikuwa ni mastar wakubwa na celebrities wa Tanzania wa hapo Dar-es-Salaam. Aliupata umaarufu kwa jinsi alivyokuwa akitangaza biashara yake kupitia Mtandao.

Mara ghafla akaamza kuwa chawa wa Diamond na Uwoya, lakini ukimsikiliza Kiswahili chake ni kama kina lafudhi ya Wakongo kabisa, ambao wengi walifika Dar kwa kazi ya kusuka na kuwaremba wanawake pamoja na kunengua na kuimna miziki ya dansi. Ametumia mtandao wa Instagram na TikTok kuonesha ukwasi wake na jumba lake la kifahari kubwa sana na zuri.

Swali langu ni kwamba, Aristotle ndie chawa tajiri Tanzania ambae ana asili ya Congo ama ni Mkigoma tuu? Uchawa unalipa nami niuanze? Hawa ndio influencers ambao Mh. "Zakayo" kutoka Burundi alisema wataanza kulipishwa Kodi?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Nyie wadada mtakuwa maskini sana. Huyo jamaa atawamaliza. Ndo namsikia leo ila umempamba sana nikaona tayari ashakukula kimasikhara.
 
Endeleni kushupaza shingo eti sio nyumba yake...
Tafuteni hela siku hizi kuishi nyumba nzuri wtt kusoma vizuri kula vzr kuendesha gari zuri ndo maisha ya kijana wa kisasa tena katika umri mdogo..unafaidi maisha ukiwa na nguvu zako...cha msingi ni kipato halali na kisiwe kipato cha kujitoa utu wako..
Sio rahisi kiivo chief!
 
Muhimu kama sio mtanzania tujue bayana. Hao hawakawiagi kugombea ccm hata ubunge. Kuna yule mkenya alijiingiza tz akapiga hela hadi kua mwenyekiti wa chama cha mpira nchini na kujipa jina alhaji fulani. Alipoingia matawi hatakiwi ndio wakamvua mask na kumu escort hadi namanga wakamdump pale akaingia zake nairobi na kutokomea.
Nifungulie hii code nimetoka bushi juzi
 
Jamaa kumiliki hiyo nyumba sishangai kabisa, hapa Tanzania ukijua kuchuma pesa za wajinga na ukawa na nizamu ya pesa kutoboa maisha ni easy sana.

Kuna watu wanafanya uchawa wa akili ukimuona kama fala lkn anajua anachokifanya 100%. Mbona wapo wengi tu wamejenga na kuishi maisha ya kifahari kwa kujipendekeza na kuwasifia maboss&wanasiasa?

Bongo ukijua kuitumia akili Yako vzr nakuhakikishia haufi maskini, wajinga ni wengi sana wa kujichotea mipesa bure bure
 
Back
Top Bottom