Bakhresa sio tajiri namba moja tanzania hapana ila tajiri namba moja ni ni rostam aziz soma hapa...

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
kuna tetesi zinasema kuwa rostam aziz ndie tajiri namba moja tanzania na wala sio said bakhresa kama watu wanavyojua
kwa sababu ana vyanzo vinavyomuingizia pesa ambavyo kwa siku jamaa ana make billions of tshs .....
Sema kwa kuwa ni mwanasiasa nyingi hazitajwi.. Ili asije kuonekana ni fisadi
inasemekana kawekeza kwenye mawasiliano na kwenye usafirishaji na huko kwenye usafirishaji ndio maana reli ya kati imekufa haifanyi kazi...... Ana malori yake ya mafuta na mizigo inayopfanya kazi kwenda burundi na rwanda ila ni kwa majina ya wafanyabiashara wakubwa nimesikia kawekeza kwenye mawasiliano (vodacom) ila sina uhakika.....
Mimi nimesikia hayo ila kwa faida ya wana jamvi wenye ukweli juu ya hili basi watueleze kuhusu huyu jamaa kwa wanayojua na vyanzo vyake
coz watu wanasema huyu mwarabu na mwenzie mmasai mzee wa nywele nyeupe wana biashara ambazo watanzania tunazitumia kila siku na kuwafanya watajirike yaani ni kwamba wameshika idara nyeti sana walipoekeza kiasi kwamba kila siku watanzania tunatumia bidhaa zao hawa jamaa kuna mwenye data kuhusu hili?
 
Back
Top Bottom