Bakhresa sio tajiri namba moja Tanzania hapana ila tajiri namba moja ni ni Rostam aziz soma hapa...

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
kuna tetesi zinasema kuwa rostam aziz ndie tajiri namba moja tanzania na wala sio said bakhresa kama watu wanavyojua
kwa sababu ana vyanzo vinavyomuingizia pesa ambavyo kwa siku jamaa ana make billions of tshs .....
Sema kwa kuwa ni mwanasiasa nyingi hazitajwi.. Ili asije kuonekana ni fisadi
inasemekana kawekeza kwenye mawasiliano na kwenye usafirishaji na huko kwenye usafirishaji ndio maana reli ya kati imekufa haifanyi kazi...... Ana malori yake ya mafuta na mizigo inayopfanya kazi kwenda burundi na rwanda ila ni kwa majina ya wafanyabiashara wakubwa nimesikia kawekeza kwenye mawasiliano (vodacom) ila sina uhakika.....
Mimi nimesikia hayo ila kwa faida ya wana jamvi wenye ukweli juu ya hili basi watueleze kuhusu huyu jamaa kwa wanayojua na vyanzo vyake
coz watu wanasema huyu mwarabu na mwenzie mmasai mzee wa nywele nyeupe wana biashara ambazo watanzania tunazitumia kila siku na kuwafanya watajirike yaani ni kwamba wameshika idara nyeti sana walipoekeza kiasi kwamba kila siku watanzania tunatumia bidhaa zao hawa jamaa kuna mwenye data kuhusu hili?
 
asionekane fisadi wakati ni fisadi no 1. wewe peke yako ulikuwa humfahamu hiyo voda anamiliki yeye. nishachefuka ngoja nitafute usingizi. na log off
 
i thought voda ni kampuni ya nje yenye branch tanzania au hapa sijaelewa???
 
CASPIAN, kampuni inayomiliki magari na mitambo mizito karibu migodi yote Tanzania. Ni ya Rostam, inqalipwa kwa siku na ni mabilion
 
Vodacom ni trade mark jamani mtu ananunua jina kuendeshea mitambo yake kwa masharti ya mwenye jina so inawezekana ni ya rostam hivi msekwa si alikuwa mkiti wa bodi?ilikuwa zain au voda?mnaokumbuka nisaidieni ila ni ya rostam
 
New Habari Cooperation inayomiliki Magazeti ya Mtanzania, Dimba, Rai, Bingwa,
 
Mbona ueleweki wewe umesema Bakhresa sio tajiri kuzidi Rostam, halafu wewe tena unauliza mwenye habari zaidi alete..

JF sio sehemu ya porojo
 
Are U investigating or you have reliable data za kutuambia who is rich in tanzania?
 
Tunaomba mwenye data za nani tajiri mkubwa kuliko wote Tanzania atupo, zikiambatana na biashara au vitu anavyo miliki
 
Hivi inakuaje tujadili maishao katika mali wakati matajiri wengi wa kitanzania hawana tabia ya kuhorodhesha mali zao hadharani?
 
watu bwana na habari zisizo na utafiti, vodacom inamilikiwa na VODAFONE na si rostam. Mnaambiwa rostam katumika na CCM kuonekana anamiliki hisa VODACOM kwa kutumia mgongo wa sheria inayotaka wawekezaji lzm wawe na mzalendo anayemiliki hisa ilhali hisa kubwa ni za CCM, rostam anazo chache.
 
rostam tajiri, unachekesha ungewaona wengine sijuwi ungesemaje.acha kuleta porojo bila ushahidi
 
kua kwenye vodacom yes ye ni mmiliki na hata alipokuja MD mpya wa vodacom Rene Meza for the first time aliongea na vodacom permanent workers pale mlimani city na nilikuako pale ye ni share holder mkubwa wa vodafone group worldwide na ndio maana top vodafone officials wanakuja bongo ooh mara watembelee ccbrt ni yeye ndo ana facilitate!
 
watu bwana na habari zisizo na utafiti, vodacom inamilikiwa na VODAFONE na si rostam. Mnaambiwa rostam katumika na CCM kuonekana anamiliki hisa VODACOM kwa kutumia mgongo wa sheria inayotaka wawekezaji lzm wawe na mzalendo anayemiliki hisa ilhali hisa kubwa ni za CCM, rostam anazo chache.


acha kuongea usio yajua! funga bakuli lako!
 
Back
Top Bottom