Je ajira zimeisha?

Kabaizer

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
504
64
Naona wana wa great kutafakar wamechemka coz nafas za kaz hakuna, Kama vp hiki kipengele kifutwe maana mtu ukisema unatafta kazi watakuzogoa Kama vile wamelazimishwa kuchangia, guyz hii sio USO wa kitabu a.k.a facebook...so kuwen na hekima mtu anapokua sirichanya!!!
 
Back
Top Bottom