Jay Dee na Gadner watimiza miaka 5 ya Ndoa

Jamani tuwashauri waende kwa wazee wa upako watampata tu. NANI ANAMJUA TB JOSHUA WA NIGERIA. Mbona hiyo mambo anamaliza kabisa.
 
five years NO KIDS...........!
i can imagine a hell-of-life kwenye hiyo ndoa......!
hongera gadna,manake we mwanamume wa shoka....
mimi na x-pin na kaizer na fidel TUNGESHAKIMBIA

kufuru hizo sasa, unadhani hawapendi kuwa na mtoto? huwezi kujua jamani kha.

Kweli hizi ni kufur za nguvu.Watoto ni majaliwa ya mwenyezi Mungu.Tuombe toba kwa ajili ya G.....
EEEEE Mungu mtakatifu,tusamehe sana kwa maneno haya.Baba msamehe kiumbe chako huyu Geoff.Ukamponye baba,usimuadhibu ee Mungu kwani wewe ndio unalleta watoto hapa duniani tutake tusitake.Naamini utajibu Baba.Na hata hao ..... waliokosa watoto Mungu,uwape sawasawa na mapenzi yako.
AMINA.
 
mungu anisamehe bure!
lakini ninachokiongea kinatoka moyoni kwamba:
1-gadner IS GOING THROUGH THE HELL-OF-LIFE
2-totooz za kizazi hichi zitakuwa tasa karibu zote KWA KUJITAKIA......ABORTIONS ndo staili ya maisha
Na unauhakika gani kuwa labda ni yeye Gadner ndiye hataki watoto?
 
five years NO KIDS...........!
i can imagine a hell-of-life kwenye hiyo ndoa......!
hongera gadna,manake we mwanamume wa shoka....
mimi na x-pin na kaizer na fidel TUNGESHAKIMBIA

Geoff Mapenzi ni kuvumiliana, we unashangaa mtu hana mtoto miaka mitano watu wamekaa miaka kumi na zaidi,
siku haijafika ikifika Mungu atawafungulia milango ya mbinguni na kuwamwagia mvua ya baraka , watoto wengi, na watoto ni majaliwa na hiyo ni siri yao sisi tunatakiwa tuwe watazamaji tu.
 
hahaha!wewe dada una uhakika na unachokinena?ai miiin unachokitamka?


abortion huku bongo ndo staili ya maisha
mtoto mbichi anashusha mara tano kabla ya kuolewa

huh! hii inatisha!

sasa hamna hospitali za kufundisha prevention hakuna?
 
five years NO KIDS...........!
i can imagine a hell-of-life kwenye hiyo ndoa......!
hongera gadna,manake we mwanamume wa shoka....
mimi na x-pin na kaizer na fidel TUNGESHAKIMBIA

Swala la kupata watoto kwenye ndoa ni la kumwachia MUNGu maana halitokani na ujanja au akili ya mtu.
 
Mambo mengine msimsingizie Mungu ikiwa mtu aliabort kwa wingi hilo linakuwa ni suala lake na Mungu hahusiki. Nakumbuka Tabora alikuwepo Daktari mmoja ambaye ilikuwa ukiabort mara mbili mara ya tatu anatoa mzizi pasipo hata wewe kujua ukimuuliza anakwambia hata naye amechoka kuua, unapofanya abortions mara nyingi unakuwa hutaki watoto. Wanafunzi wengi wa uhazili waliishia kuwa wahanga wake na siku ya mziba wake wanawake wengi pale tabora walikuwa wanalia sana.

Msiwahukumu wanaolaumu abortion na wale msimsingizie Mungu. God has placed the power to decide- leave or take to human beings.

Kama aliabort sana kazi anayo, aangalie labda dk alikata mzizi

NA HUYO MACHO MLEGEZO!!!????????IS HE REAL

kuna ambao hawajawahi ku-abort na wana tatizo la kupata watoto,lazima watakuwa offended na maneno yenu!
 
wamekwambia wanahitaji?

Watoto ni sehemu ya familia, familia yao haina watoto basi wanashida hao. Watoto wanahitajika sana angalia Ulaya sasa wanataka watoto ili kujaza nafasi ya nguvu kazi itakayo ondoka. Wazazi wao wasingeona umuhimu wa watoto hiyo miziki mizuri ya JD tungeipata wapi?
 
watoto ni zawadi toka kwa mungu,ukiwa naye shukuru Mungu, ukiona mwenzio hana, lia nae, lieni nao waliao,...kwasababu najua jaribu la kukosa mtoto ni kubwa kuliko yote ktk ndoa....kwa mwanaume na kwa mwanamke pia...so don't make funny of them please, waonee huruma na kuwaombea tu.
 
Hivi watu kwa nini mnapenda kuingilia mambo ya watu kiasi hichi? na kulazimishia mambo mnayoyataka nyie, Huyo JD kawaambia anataka watoto? Mind your own business!!!! Let the woman be! Nyie mnaowa hukumu maisha yenu ni perfect?
 
Ni ndoa chache sana za mastaa hudumu.
Nawapa bingo kwa kudumu muda huu wote.
Ila namuasa kidume mwenzangu Gadner kuwa asimchoke jide maana akina mama kuna kipindi hufikia wanachuja ila kwa kuwa sisi madume huzeeka upesi ni vyema kudumu na mke aweze kukutunza uzeeni.
Mnabisha?????!
 
Hongera sana JD na Gadner kuwa kukubali kuishi katika ndoa kwa miaka yote hiyo. Kuna sacrifices nyingi mlizofanya ili kuimalisha maisha yenu ya ndoa hasa kwa vile nyote ni staa. Mungu awabariki
 
Jide will prove us wrong in a matter of time. Nadhani she's not ready to be a mother na atakapokuwa tayari atazaa. Mimi naona ni maamuzi yao maybe wanataka wawajengee msingi bora watoto. After all akishaanza kuzaa muziki itabidi auweke pembeni na alee watoto na ajira yake ni muziki so she has to build a life for them first. Huo ni mtazamo wangu.
 
........We Geoff wewe tema mate chini, una uhakika gani kwamba huyo dada alitoa mimba? Mbona watu mna mawazo mabaya kiasi hiki? Wangapi wanatoa mimba na still wanazaa........kuna matatizo mengi yanayoweza kusababisha mtu kutoshika mimba, lakini cha ajabu siku hizi mwanamke akichelewa kushika mimba basi anaonekana alishatoa mimba.

Hebu tusipende kuongea vitu ambavyo hatuna uhakika navyo na vile vile havituhusu. Kama kuzaa huo ni mpango wa Jide na mumewe nyie watu wengine mnashibikia kana kwamba Jide ni shemeji au wifi yenu.
Hebu mwacheni dada wa watu ajifurahie maisha hakuwaambia kwamba anahitaji mtoto.........hakuna kitu kinachonikera kuona mtu anamsema mwanamke mwenzangu kwa ajili ya kutokuzaa mtoto.Hili tatizo la uzazi ni la pande zote kike/kiume hivyo tusiwe wepesi wa kuona mwanamke ndio mwenye tatizo.
e

aaaahaaah na wewe kwa nini sasa ateme mate chini si bora umshike sikio? maana ameshasema Mungu amsamehe Geoff yeye, sasa mate ya nini tena? keshaona kasema kitu ambacho hana uhakika nacho au scenario aliyofananisha nayo kaona inaweza isi apply kwa jide ndo maana kaomba msamaha tena kwa Mungu.
 
Back
Top Bottom