Jatropha Plant, do we have this plant in Tanzania?

Tanzania puts faith in jatropha plant



By Egon Cossou
Africa Business Report, BBC World News, Tanzania
999999.gif



_46902758_008270983-1.jpg
The jatropha plant can thrive in the harshest conditions

The small village of Miririnyi village lies in the sun-baked province of Arusha in northern Tanzania.
The ancient crop jatropha grows wild here. It is extremely hardy and can survive in dry, barren soil - even though other plants cannot.
It used to be considered as bush with no commercial potential.
But the global search for clean energy has changed all that.
That is because the seeds can be harvested to make biofuel. It has meant that farmers are now taking to the crop with gusto.
Child's play
Samson Nasary is one such farmer, and he is looking to jatropha as an important source of income.
He harvests the seed and takes it to a collection point where he meets an agent for a firm called Diligent Tanzania. The product is weighed and valued, then a deal is struck.

BBC News - Tanzania puts faith in jatropha plant
 
Google neno MIBONO au MIBONO KABURI, ndio majina ya JATROPHA yanayotumika TZ
 
Kuna kampuni ya Wajerumani wana mashamba makubwa ya Jatropha huko Mpanda. Kwa taarifa zaidi gonga HAPA
 
Huu mti unapatikana sehemu nyingi TZ, hasa makaburini kwani unaweza kupanda hata kitawi kinaota. Nakumbuka tulikuwa tunatumia mafuta yake kama mafuta ya kuwasha taa, tatizo moshi wake ni mzito sana kama wa diesel.
 
Hii miti inaweza kukuwa Pwani? Dar, au Tanga au Pwani Mkoa, au Lindi or Mtwara?
 
Huu mti unapatikana sehemu nyingi TZ, hasa makaburini kwani unaweza kupanda hata kitawi kinaota. Nakumbuka tulikuwa tunatumia mafuta yake kama mafuta ya kuwasha taa, tatizo moshi wake ni mzito sana kama wa diesel.

I think nilisha wai kuuona nilipo kuwa mtoto, not shure though

Thanks
 
Hii miti inaweza kukuwa Pwani? Dar, au Tanga au Pwani Mkoa, au Lindi or Mtwara?

Ndio, mmea huo unastawi vema sana katika mikoa hiyo. Kwa Mkoa wa Tanga, zao hili lipo eneo la Mazinde Chini (linatumika kama live fence), mbele ya Mombo, lipo Muheza (wanatumia kama 'intercropping' na vanilla, lakini pia lipo sehemu za Korogwe. Kwa mkoa wa Pwani, kuna mashamba makubwa sana pale Kisarawe, moja la kampuni ya Wajerumani la lingine la Wamatumbi wenzetu. Kwa Dar nimeona maeneo mengi wanatumia kama live fence, Mwenge, Sinza na maeneo mengine, lakini pia hupandwa kama demarcation ya makaburi. Sina uhakika kama linapatiklana Lindi na Mtwara, ila kwa sababu mazingira yake yanashabihiana sana na Dar, huenda zao hilo likawa linastawi. Mimi ni mdau mkubwa wa zao hilo, huwa tunatumia kutengeneza mafuta ya kuendeshea mitambo. Hatujaanza uzalishaji ule full fledged, lakini tupo hatua nzuri sana ya utafiti. Nina vitabu kadhaa vinavyohusu production na processing yake, may be we can share someday.
 
wawekezaji wa bioshape walijaribu kuipanda huko kilwa, lindi - jaribu kuwa-google utapata ripoti nyingi tu kuhusu kilichotokea!

mimea hii inaota sehemu kubwa sana ya nchi,ukanda wa pwani karibu wote mibono kaburi ipo, ukienda nyanda za juu kusini bonde la usangu ipo,

ila hawa bioshape huku kilwa wamechemsha, walifyeka misitu na kusafirisha magogo na kutelekeza shamba,kwa taarifa za siku za karibuni ni kwamba wanataka kuuza kwa wenzao.
 
Back
Top Bottom