Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,314
- 2,635
Huyu jamaa ki-ukweli alianza kujitanua sana katika muziki,nakumbuka baadhi ya nyimbo zake kama ule anaosema "ewe baba mwenye nyumba sio uwe mkaa wa moto" jamaa kuna nyimbo kibao sana ambazo kiukweli zilikuwa zinanishika sana, MV BUKOBA ,KATONDA na nyingine kibao,mpaka leo sifahamu history ya kifo chake,kama kuna mtu anajua habari za Kalikawe basi anidadavulie ili nipate kumjua zaidi ya nilivyo mjua.