Jastine kalikawe alikua anakuja juu sana ktk anga ya muziki wa reggae hapa nchini,

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,315
2,634
Huyu jamaa ki-ukweli alianza kujitanua sana katika muziki,nakumbuka baadhi ya nyimbo zake kama ule anaosema "ewe baba mwenye nyumba sio uwe mkaa wa moto" jamaa kuna nyimbo kibao sana ambazo kiukweli zilikuwa zinanishika sana, MV BUKOBA ,KATONDA na nyingine kibao,mpaka leo sifahamu history ya kifo chake,kama kuna mtu anajua habari za Kalikawe basi anidadavulie ili nipate kumjua zaidi ya nilivyo mjua.
 
mkuu umenikumbusha jamaa alikua jembe sana. Nasiki aliwaikorofishana na serikali ya mkapa baada ya kutoa wimbo wa mv bukoba akakimbilia USA huko alitoa albam moja kali sana ya Maisha ilibamba vibaya sana..... Wanaomjua watatujuza zaidi.
 
hata mie nimewahi kusikia kuwa wimbo wa mv bukoba ndio ulomfanya atoweke nchini,
 
mkuu umenikumbusha jamaa alikua jembe sana. Nasiki aliwaikorofishana na serikali ya mkapa baada ya kutoa wimbo wa mv bukoba akakimbilia USA huko alitoa albam moja kali sana ya Maisha ilibamba vibaya sana..... Wanaomjua watatujuza zaidi.

Yeah_.......alikuwa bob wa tanzania.....r.i.p justine
 
nilikuwa na kanda zake mbili, sikumbuki album ziliitwaje lkn nyimbo zake zilikuwa moto sana. Jamaa angefika mbali sana RIP Kalikawe
 
mkuu umenikumbusha jamaa alikua jembe sana. Nasiki aliwaikorofishana na serikali ya mkapa baada ya kutoa wimbo wa mv bukoba akakimbilia USA huko alitoa albam moja kali sana ya Maisha ilibamba vibaya sana..... Wanaomjua watatujuza zaidi.

Watafute walimu wake wa muziki wawili kati yao ni Innocent Galinoma na Endy Swebe hawa jamaa ndio walianza kumfundisha muziki akiwa sekondari ya Tambaza.
 
•Usitumie cheo chako kama dhamana utasababisha ajali kama ya mv bukoba!!
•Panapufuka Moshi ujue pana moto

Jamaa alikua jembe sana nilikua na tape yake longtime sana nilinunua mia400.
 
Nikimbilie wapi,? wapi nikayafiche maisha yangu? Kwani duniani ndipo nilipoumbwa kuishi,nimchekee nani,? nani nimlilie shida zangu.? Rafiki asubui usiku ndio adui yako.... Ni kati ya mashairi ya wimbo wa maisha. R.i.p J.Kalikawe.
 
Watafute walimu wake wa muziki wawili kati yao ni Innocent Galinoma na Endy Swebe hawa jamaa ndio walianza kumfundisha muziki akiwa sekondari ya Tambaza.

mkuu tatizo hata kazi zake mitaani hazipatikani nafikiri kazi zake nyingi aliuzia kwenye kaseti,sidhani kama amewai kutoa cd.
 
Nikimbilie wapi,? wapi nikayafiche maisha yangu? Kwani duniani ndipo nilipoumbwa kuishi,nimchekee nani,? nani nimlilie shida zangu.? Rafiki asubui usiku ndio adui yako.... Ni kati ya mashairi ya wimbo wa maisha. R.i.p J.Kalikawe.

Unatisha jamaa alikua nomaa sana!
 
.......ningekua na mabawa ningeruka kama ndege lakini mimi mwanadamu nimeumbwa kutembea aridhini.......
 
nazitafutaga japokanda zake niziweke kwenye cd sipati wapi? Ntapatata?namkubali ile mbaya
 
mimi naskia kafungiwa chumba flani WALKGUARD HOTEL bukoba.... anaosha vyombo..lol

embu mwaga data mkuu ninahitaji kujua zaidi kuhusu mkaree a.k.a bob marley wa bongo.
 
Justin Kalikawe, alikufa kwa kuamini sana imani za kirasta, aliugua akakataa kwenda hospital, akawa anatumia dawa za asili tu, alizidiwa mpaka umauti unamkuta, kwa kutetea msimamo wake wa kutokwenda hospital..
R.I.P KALIKAWE!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom