Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,455
- 8,249
Covd19 hutawasikia wakimpinga Ndugai kuwa kafanya makosa kumshambulia mwenyekiti wa CCM na hata wanaccm wote wanaomshambulia Ndugai na kutishia kuitisha maandamano ya kumshinikiza ajiuzulu kwa madai ya kulidhalilisha bunge wanafanya hivyo kwa ajili ya kutetea ugari wao na hawana weledi wowote pamoja na mwenyekiti wao taifa.
Hakuna jambo baya zaidi lililolidhalilisha bunge kuzidi lile la kuwaweka kwa nguvu na kuwalinda kwa nguvu zote wabunge ambao hawana chama chochote cha siasa pamoja na chama husika kutoa tarifa kuwa wale siyo wanachama wake kwakuwa kilishawavua uwanachama.
Pamoja na yote hayo Ndugai kwa kiburi chake ameendelea kuvunja sheria kwa kuwalinda wabunge covd19 na hakuna mwanaccm hata mmoja kuanzia mwenyekiti taifa aliyethubutu kumkemea Ndugai maji yamewafika shingoni ndo wameanza kuweseseka.