Jaribio la kugomea Sensa: Mwitikio wa Serikali

Kwa hili lazima kieleweke

walipanda wenyewe, watavuna wenyewe.
Nafikiri kuna kila sababu katika kugoma. Kama mtu anahisi kuonewa lazima apiganie haki yake.

Kwamfano kama NECTA inawaonea kundi flani, kwanini wasigomee national examinations? Yani Form IV exam wasitokee!
 
au mnaogopa waislam wakionekana wapo wengi huku wakiristo ndio waliotufisha hapa kwenye umaskini kwa kupeana vyeo makazini?

Hizi takwimu za nani ni wengi ndizo zinaleta matatizo kila pembe ya nchi yetu. Hakuna sensa iliwahi kuhesabu watanzania kwa dini zao, wingi unatoka wapi?

Nguvu za kiuchumi popote duniani hazitokani ni nani wengi bali ni kundi lipi lina elimu na maarifa, kwa mfano, Israel ni nchi ndogo na watu wake ni wachache kuliko Tanzania lakini ni taifa lenye nguvu duniani kiuchumi na kisayansi. Mataifa ya waarabu pamoja na wingi wao wanapata tabu kila kukicha kuingamiza Israel.

angalia maendeleo ya wachaga dhidi ya makabila makubwa kama wasukuma.
 
Fedha za MOU haziingii kanisani bali serikali inalipa moja kwa moja kwenye huduma husika kama vile mishahara ya walimu na madaktari wanatibu wananchi bila kujali dini zao bila kusahau madawa.
Unataka kutuambia kuwa faida inayopatikana katika Mahospitali na Mashule ya vyuo zinaingia wapi kama si Kanisani?
Luiza Gama said:
serikali ikijitoa kutoa ruzuku haina tatizo bali huduma za afya zitapanda bei na mashule ya kanisa inawezekana hayatapokea wanafunzi wa imani zote
Rekodi zinaonyesha kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu tu 2008-2011 Serikali ilitoa bilioni 331 kuyapa Makanisa (kumbuka kuwa mkataba ulifungwa 1992) fikiria pesa ambazo Serikali imezipatia Makanisa toka 1992 ingeweza kujenga Mahospitali na Mashule mangapi ambayo raia wa kawaida wangekuwa na uwezo wa kumudu gharama zake?
Aidha Serikali ijitoe haraka au taasisi nyingine za kidini nazo zipewe fursa sawa na Kanisa, vinginevyo nchi igawanywe.
Opaque said:
Labda wanahama hama, au walikufa kwa rate kubwa kuliko kuzaliana, au walikataa kuhesabiwa kama waumini fulani wanavyotaka kukataa !
Wangepungua idadi, lakini kuwa sawa ileile?!
Mkuu! hili la sensa hata Wakristo wa "vijiweni" wanakiri kuwa sasa wanawaelewa Waislamu zaidi wakati wakisema wanahujumiwa.
 
walipanda wenyewe, watavuna wenyewe.
Nafikiri kuna kila sababu katika kugoma. Kama mtu anahisi kuonewa lazima apiganie haki yake.

Kwamfano kama NECTA inawaonea kundi flani, kwanini wasigomee national examinations? Yani Form IV exam wasitokee!

Tunachanganya mambo,

Kilichotokea NECTA kwenye Islamic Knowledge ni kupata wataalamu wa kiislamu wa kusahihisha ambapo majibu yaliyoteuliwa yalishindwa kukidhi hadhi ya uelewa wa masheikh kwenye somo hilo. NECTA Wanasema Bible knowlege iko rahisi kusasahisha ikilinganishwa na Islamic knowledge ambayo majibu yake hayako straight. imekubalika kwamba kutokana na mchanganyiko huo na hasa kuondoa dosari hiyo miaka ijayo watachukuliwa Masheikh kwenda kuhakiki matokeo ya Islamic Knowledge. Hivyo, matokeo yalisahihishwa upya.

Kama kuna kundi lingine halikuafiki matokeo ya masomo mengine lina nafasi ya kwenda NECTA na kusahihisha upya. Kulalamika nje ya NECTA haitaweza kutupa jibu sahihi itaonekana ni kuleta fujo kwani nafasi ya kukata rufaa iko wazi kama ilivyofanyika kwa somo la Isalmic knowledge.

Kama malalamiko yangekuwa kwa masomo yote ni kwa nini Masheik waliokwenda kufanya marudio ya Islamic knowledge hawakuomba kurudia masomo yote? kazi hii pia inaweza kufanywa na mlalamikaji ( mwanafunzi) au shule aliyosoma mwanafunzi inaweza kulalamika na kuomba rufaa.
 
Unataka kutuambia kuwa faida inayopatikana katika Mahospitali na Mashule ya vyuo zinaingia wapi kama si Kanisani?Rekodi zinaonyesha kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu tu 2008-2011 Serikali ilitoa bilioni 331 kuyapa Makanisa (kumbuka kuwa mkataba ulifungwa 1992) fikiria pesa ambazo Serikali imezipatia Makanisa toka 1992 ingeweza kujenga Mahospitali na Mashule mangapi ambayo raia wa kawaida wangekuwa na uwezo wa kumudu gharama zake?
Aidha Serikali ijitoe haraka au taasisi nyingine za kidini nazo zipewe fursa sawa na Kanisa, vinginevyo nchi igawanywe.Wangepungua idadi, lakini kuwa sawa ileile?!
Mkuu! hili la sensa hata Wakristo wa "vijiweni" wanakiri kuwa sasa wanawaelewa Waislamu zaidi wakati wakisema wanahujumiwa.

Lugha ya kusema fedha zilikwenda kanisani sio ya umoja wa kitaifa, fedha hazikwenda kanisani zilikwenda kwenye miradi ya kanisa (shule, vyuo na hospitali) ambako kuna wakristo, waislamu na wasio na dini ambako pia Kikwete aliwaambia Waislamu hawajanyimwa bali hawajaomba. Tatizo hapa sio ukristo bali ni kwa nini serikali yetu inaendelea kuhudumia miradi ya kanisa bila mipango ya kuwa na mashule na mahospitali ya kutosha? Kumbuka Nyerere alinyang'anya miradi hii ya kanisa Ally Hassan mwinyi akarudisha na kuweka nao MOU bado ni kitendawili.

hata mimi naafiki sana kuwa kama serikali ingekuwa na mkakati mathubuti kama KCMC, Bugando, Bombo na Ndanda zote na zingine ni hospitali za kanisa kwa sasa wangekuwa wanajenga za rufaa moja moja ili kuchukua nafasi ya shule na hospitali za kanisa.
 
Unataka kutuambia kuwa faida inayopatikana katika Mahospitali na Mashule ya vyuo zinaingia wapi kama si Kanisani?Rekodi zinaonyesha kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu tu 2008-2011 Serikali ilitoa bilioni 331 kuyapa Makanisa (kumbuka kuwa mkataba ulifungwa 1992) fikiria pesa ambazo Serikali imezipatia Makanisa toka 1992 ingeweza kujenga Mahospitali na Mashule mangapi ambayo raia wa kawaida wangekuwa na uwezo wa kumudu gharama zake?
Aidha Serikali ijitoe haraka au taasisi nyingine za kidini nazo zipewe fursa sawa na Kanisa, vinginevyo nchi igawanywe.Wangepungua idadi, lakini kuwa sawa ileile?!
Mkuu! hili la sensa hata Wakristo wa "vijiweni" wanakiri kuwa sasa wanawaelewa Waislamu zaidi wakati wakisema wanahujumiwa.
hahahahahaa!!!!!
Umenikumbusha nimesoma article moja kwenye gazeti la Al Nuru kuhusu NECTA na waziri wa Elimu..........duh....mwandishi amerudia maneno..."habari zilizopo MITAANI......maneno yaliyosemwa na kisikika MITAANI....habari zilizozagaa MITAANI....." nikagundua kumbe tunaongelea habari za mitaani.....na itaani ndo wapi huko??

Naona na wewe unarudia mambo ya VIJIWENI na MITAANI.

:focus:

Tunamuangusha mwenzetu jamani.
 
Kila muislamu atakayekubali mpango wa kugoma sensa ifikapo Agosti 26 atakuwa ameshiriki kuhujumu mipango ya maendeleo ya awamu ya nne inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete.

serikali ikishindwa kufikia mipango yake ya maendeleo wapo watakaosema ni "mfumo kristo" au itaelezwa kwamba ni mkakati wa upinzani kwani tunapenda majibu mepesi/marahisi yasiyo na vielelezo.

Msukumo wa kugomea sensa una mantiki moja tu nzito, kumwangusha JK.

hawana ishu wanawahesabu ili wajue idadi ya wakuwapunguza...
 
Tunachanganya mambo,

Kilichotokea NECTA kwenye Islamic Knowledge ni kupata wataalamu wa kiislamu wa kusahihisha ambapo majibu yaliyoteuliwa yalishindwa kukidhi hadhi ya uelewa wa masheikh kwenye somo hilo. NECTA Wanasema Bible knowlege iko rahisi kusasahisha ikilinganishwa na Islamic knowledge ambayo majibu yake hayako straight. imekubalika kwamba kutokana na mchanganyiko huo na hasa kuondoa dosari hiyo miaka ijayo watachukuliwa Masheikh kwenda kuhakiki matokeo ya Islamic Knowledge. Hivyo, matokeo yalisahihishwa upya.
Hii yako ni mpya! kwa sababu kuna ripoti kuwa Ndalichako amekataa kumuajiri mtaalamu wa Islamic Knowledge na lugha ya Kiarabu huku akimuajiri Mchungaji kwa ajili ya somo la Bible Knowledge.
Kuhusu matokeo mapya yaliyotolewa yaligundulika kuwa na dosari pia!
KAZIMOTO said:
Kama malalamiko yangekuwa kwa masomo yote ni kwa nini Masheik waliokwenda kufanya marudio ya Islamic knowledge hawakuomba kurudia masomo yote? kazi hii pia inaweza kufanywa na mlalamikaji ( mwanafunzi) au shule aliyosoma mwanafunzi inaweza kulalamika na kuomba rufaa.
Kama kuna kundi lingine halikuafiki matokeo ya masomo mengine lina nafasi ya kwenda NECTA na kusahihisha upya. Kulalamika nje ya NECTA haitaweza kutupa jibu sahihi itaonekana ni kuleta fujo kwani nafasi ya kukata rufaa iko wazi kama ilivyofanyika kwa somo la Isalmic knowledge
Sijui ulikuwa wapi wakati wa Waislamu walipoomba uhakiki wa masomo yote ufanyike, Wizara au Baraza likaunda tume na tume imeshafikisha ripoti yake Wizarani, lakini Wizara ipo kimya!
Kuna swali pia baraza linafanya nini na mitihani iliyokwishasahihishwa ambayo huchukuliwa na baadhi ya watu na kukaa nayo kwa miezi miwili, nini kinafanyika huko hakuna anayekijua!
 
hahahahahaa!!!!!
Umenikumbusha nimesoma article moja kwenye gazeti la Al Nuru kuhusu NECTA na waziri wa Elimu..........duh....mwandishi amerudia maneno..."habari zilizopo MITAANI......maneno yaliyosemwa na kisikika MITAANI....habari zilizozagaa MITAANI....." nikagundua kumbe tunaongelea habari za mitaani.....na itaani ndo wapi huko??

Naona na wewe unarudia mambo ya VIJIWENI na MITAANI.

:focus:

Tunamuangusha mwenzetu jamani.
Tuwekee hiyo article na sisi tujionee.
 
Jamani nawatahadharisha Watanzania tuache uchochezi kama mwenzetu alivyoonyesha takwimu feki hapa jamvini.

Sideeq ameandika: Ni wakati gani baada ya uhuru serikali imepanga maendeleo yake kufuatilia sensa?
Kama ni hivyo basi Tanga tayari imeshakwamishwa kimaendeleo kwa sababu sensa iliyofanyika 1988 wakazi wa Tanga ni millioni 1.5, sensa iliyofanyika miaka 14 baadae 2002 inaonyesha idadi ileile kuwa wakazi wa Tanga ni milioni 1.5!!
Maajabu ya Tanga hayo! lakini mikoa yenye Wakristo wengi idadi yao inaongezeka kila sensa inapofanyika!
Sensa is not for us!

Inaonyesha jinsi mwenzetu asivyofanya utafiti wake sawa. Kwa kumsaidia wakaazi wa Tanga walikuwa:
1,038,767 mwaka 1978; 1,280,262 mwaka 1988; na mwaka 2002 walikuwa 1,636,280
Source: bonyeza hapa
 
kwa hakika sensa ikisema tuko milioni 25 wakati tuko milioni 45 baada ya mkakati wa kugoma, Jk hataweza kufikia malengo yake kwa takwimu bandia

Mkuu kikwete kabakisha miaka 3 andoke madarani lakini sensa ni malengo ya maendeo ya miaka 10 sasa kikwete anahujumiwa vip?je wakiingia upizani 2015 itakuwa je?
 
sana sana baada ya sense kitakachofuatia ni michango chngu nzima kwa wananchi vijijini kumbuka baada ya sensa ya mwaka 2002 ndipo michango ya shule za sekondari na msingi iliposhika kasi. Baada ya sensa ya mwaka 2012 michango kwa ajili ya ujenzi wa zahanati kila kijiji utashika kasi sana.
 
Tuwekee hiyo article na sisi tujionee.

Soma hii uniambie kama huyu mwandishi ana source yoyote zaidi ya habari za mitaani!!

SAM_4565.JPG
SAM_4566.JPG
SAM_4567.JPG
 
Hizi takwimu za nani ni wengi ndizo zinaleta matatizo kila pembe ya nchi yetu. Hakuna sensa iliwahi kuhesabu watanzania kwa dini zao, wingi unatoka wapi?

Nguvu za kiuchumi popote duniani hazitokani ni nani wengi bali ni kundi lipi lina elimu na maarifa, kwa mfano, Israel ni nchi ndogo na watu wake ni wachache kuliko Tanzania lakini ni taifa lenye nguvu duniani kiuchumi na kisayansi. Mataifa ya waarabu pamoja na wingi wao wanapata tabu kila kukicha kuingamiza Israel.

angalia maendeleo ya wachaga dhidi ya makabila makubwa kama wasukuma.

Wachaga walio wengi ni wezi na mafisadi makazini wanapendeleana mfano BOT
 
hii sensa ilishainga doa mda mrefu sana.........lazima takwimu itaonyesha tanzania ina watu mil19.....
 
au mnaogopa waislam wakionekana wapo wengi huku wakiristo ndio waliotufisha hapa kwenye umaskini kwa kupeana vyeo makazini?

naomba kuuliza..hivi ikipita siku bila kutukana au kukejeli wakristo hamnaga raha eeh?? mnajiuliza iweje husikii wakristo wamechoma misikiti wamefanya vurugu au wamegomea sensa au kitu chochote ambacho hakileti maendeleo hakipigwi vita na wakristo..tatizo ni shule..nendeni shule kuna mengi ya kujifunza badala ya kubakia kusoma madrasa ndio maana mko hapo mlipo leo hii...Rais wa nchi hii ni muislam umeona jinsi vyeo vingi serikalini na kwenye mashirika ya umma wamepewa waislam lakini mbona wakristo hatulalamiki? unajua kwa nini? kwa sababu cheo apewe mkristo au muislam mradi ni mtanzania mchapa kazi na ataleta maendeleo hua hatuna shida...you guys could learn one or two things from us..
 
Back
Top Bottom