Japan Car Radio FM Band Frequency Expander Converter to FM 88 - 108 Mhz

Denice

Member
Mar 28, 2011
14
2
Natafuta wapi (dar es salaam) wanauza na kuweka kifaa cha kuwezesha radio ya gari kupokea frequency band za hapa nchini yaani FM 88 - 108 Mhz maana radio nyingi za magari ya japan frequency range zake ni 76-90MHz
 
Hiyo huduma subili mpaka jpili temeke mwisho kwny mziki mnene na efm inatolewa na kufungiwa fm expander bure kwnye gari yako.. nmefungiwa last week wkt efm 93.7 walipokua boko kwenye mziki mnene.
 
asante Anofaby. watakuwepo mida gani pale temeke?na inafanya kazi vizuri?
 
Yaah.. kifaa kidogo kinachomekwa nyuma kwny redio yako.. afu moja kw moja anaanza kushika frequency zote.. sikilza efm.. watakuwepo toka jumatano tareh 7 mpaka jmosi
 
Back
Top Bottom