January na Mwamvita Makamba

Wanajf ninyi mna mitazamo gani kwenye hili? Baada ya uteuzi wa January Makamba kuwa naibu waziri wa mawasiliano na alihali dadaake yuko kwenye maswala yanayoshabihiana na wizara husika? (Vodacom).

Nijuacho mimi dada yake Januari ni MTUMISHI wa Vodacom, sio mmiliki wa Vodacom. I suppose its a mere coincidence!
 
kilichofanyika ni kumnyamazisha J.Makamba,wala si kwa ajili ya utendaji

angeweza kupewa u/waziri wizara yoyote ili aache kuchonga

Naunga mkono mawazo yako. Nijuavyo mimi msimamo ule wa January serikali ya Jk. haiwezi kuutekeleza ikabaki salama! Kwenye nishati kuna mabomu mengi mno! Kwenye madini ndo kabisaaaaaaaaaaa!
 
achen uchuro kama vipi voda com ya mwamvita inahusika kwan kuandaa mazingira ya january kupata ubunge mnara wa 1 jimbo la bumbuli ulijengw kwenye kijiji cha mzee makamba kukonka nyoyo za wanabumbuli mwamvita akafanya mishe kata yetu ikapata mnara kwan ndio kata inayopitsha mbunge na kuna vipeperush vya voda vinamulazea bwana mdogo january karibu kila familia inavpeperush 3 jimboni na n nivya gharama sana.yan january na mwamvita hatuwezi kuwatofaitsha.january hana alilotenda jimbo la bumbuli kama analo aje athibitishe hapa.hakuna jipya ambalo atawaletea wanabumbuli na tz.kama ni hivyo tusimjadili riz na barik nk.
Samahani sijakuelewa unaongelea nini!
 
and then so what? does she own voda? was she responsible for his appointment? Mke wako akiwa nesi wewe huwezi kuwa mganga mkuu? Mkeo au Dada yako akiwa mwalimu wewe huwezi kuwa mwalimu mkuu. Jamani tutofautishe undugu na uwajibikaji wa Umma mnaweza kuwa mmezaliwa tumbo moja lakini hamuivi kabisa

text imekaa vizuri!!
 
Jamani Sasa huyo mwamvita anahusika vipi kwenye siasa. Atleast huyo Januaryt unaweza kumjadilil akini na yeye mpeni chance .
Ingawa nadhani JK kakosea kumuweka Wizara Ya sayansi. Ningekuwa JK kwa January angemuweka Wizara ya habari , utamuduni au michezo

Wizara ya sayansi

Weeeeh, hakuna kitu hapa duniani kama "...kakosea..." kwenye siasa! kila kitu kinachotendeka humo kina maana yake, just hold on a minute & it's not necessary you mark my words!
 
Back
Top Bottom