January na Mwamvita Makamba

Invoice

Member
Mar 19, 2012
70
63
Wanajf ninyi mna mitazamo gani kwenye hili? Baada ya uteuzi wa January Makamba kuwa naibu waziri wa mawasiliano na alihali dadaake yuko kwenye maswala yanayoshabihiana na wizara husika? (Vodacom).
 
Duh sikuwaza huko ila mbona kuna ukweli?hapa kuna kulinda maslahi ya watu binafsi
 
and then so what? does she own voda? was she responsible for his appointment? Mke wako akiwa nesi wewe huwezi kuwa mganga mkuu? Mkeo au Dada yako akiwa mwalimu wewe huwezi kuwa mwalimu mkuu. Jamani tutofautishe undugu na uwajibikaji wa Umma mnaweza kuwa mmezaliwa tumbo moja lakini hamuivi kabisa
 
Wanajf ninyi mna mitazamo gani kwenye hili? Baada ya uteuzi wa January Makamba kuwa naibu waziri wa mawasiliano na alihali dadaake yuko kwenye maswala yanayoshabihiana na wizara husika? (Vodacom).

Hapa kazi ipo
 
vodacom ni vodacom na serikali ni serikali,na kwa huu uwazi na ukweli wa sasa,mawaziri watakuwa makini sana ktk utendaji wao,maana macho na masikio yote ya watanzania ni kuwafuatilia utendaji wa baraza jipya!
 
Kuna shirika la Umma Kama TCRA Wana misuse sana hela za watanzania!! Ngoja Tumuone Huyu dogo atakuja na sera gani za Kudhibiti huu Upotevu
 
Nasikia Meza/MD VODA alitaka kumpiga chini uyu mwamvita ila watu wakamwambia uyo yupo kisiasa zaidi spare her for sometimes ila ile michongo yake mingi kaivunjilia mbali
 
Mwamvita kawekwa pale na kina RA. Makamba kawekwa pale kwa influence ya kina RA. RA anamiliki hisa nyingi kuliko mwanahisa yoyote Vodakom!!!!
Cha ajabu nini hapo!!!
 
Teh teh teh, hii nnji ni zaidi ya mnavyoijua ninyi. Mnakumbuka kikao tu cha juzi cha bunge serikali ilishindwa kutoa majibu ya waheshimiwa wabunge ya ni kwa nini Tigo imekiuka sheria za nnji kwa wageni pekee kumiliki campuni kwa asilimia mia moja?

Serikali haikuweza kujibu na badala yake iliendeleza bla bla za mwizi mzoefu ajijiteapo.

Labda J. Makamba kama hakutumwa pale kulinda maslahi ya genge la wanyang'anyi atakuja na majibu ya kuridhisha.
.
 
Labda atakuwa anatanguliza ile kauli ya "Ninadeclare interest, mimi dada yangu ni ...". Hapo ninadhani kuna kitu au Kikwete hakuwaza juu ya hilo (overlook wazungu wanaita), ngoja tusubiri.
 
vumilieni imebakia miaka mingine mitatu...2015 inakuja...haya yote yataisha...mwache apate cha kwake saivi...ndo zamu yake
 
Tunategemea aje in public kutupa mrejesho aka mshindo nyuma juu ya ukwepaji mkubwa wa kodi kwa hizi kampuni za simu, wizi wa airtime kwa watu, gharama juu ya simu nk. najua dada yake atatumika na anatumika sana kwenye lobbying lkn mwanaume kamili ni yule asiyetetereka afteral ni kijana a gReat future iko mbele yake. tutajua tu.
 
Voda ya RA sasa hapo unategemea nini??RA+CCM=Ufisadi!


umekaribia lakini haujafika Voda RA na EL wana maslahi makubwa pale na Jan. Mak. ni kijana wao, lakini hii haimfanyi Jan kua na nguvu wizarani. Prof mbarawa yuko makini, huyu amwekwa pale kupunguza kelele tu za akina EL kuonyesha serikali haifanyi kazi (ili watu wamkumbuke Zaidi EL)

tuone kama atasikika tena huyu Makamba na ukuu wake wa kupewa wa kamati ya nishati na madini wakati target yake Ngeleja hayupo tena.
 
Back
Top Bottom