January Makamba ndiye Barak Obama wa TZ

1/ Mwamvita Makamba - yupo Vodacom kulinda >30% stake ya RA

2/ January Makamba - aliwekwa pale kwa JK (Ikulu) na king-maker RA. Akanunuliwa na VX na huyohuyo RA!

3/ Yusuf Makamba - ana chain ya guesthouses/motels zilizojengwa kwa fedha ya RA

Hayo hapo juu si mapya kwa tulio wengi...lakini si vibaya kukumbushana tunapofikia hatua kama hii ya kumuweka January mahali anapostahili linapokuja suala la uongozi wa kisiasa upande huu na maslahi binafsi upande ule!
 
Mi nadhani pamoja na mambo yote yaliyotokea kisiasa na kiuchumi kati ya Rostam, Richmond, Mzee Shellukindo ( ambae nae hakuwasaidia jimbo lake kwa namna yoyote inayostahili kuwa mfano wa mbunge bora, japokuwa kazi yake katika tume ilikua nzuri...) kuna haja ya kumpa nafasi huyu jamaa tuone atafika wapi na u-OBAMA wake. Kuna aina fulani ya viongozi ambao wanajua 'ku-flirt' na media (Obama, Cameron et al.) huyu jamaa nataka kufwata nyayo zao kisiasa.. Lakini je? Atatumiaje nafasi hizo baada ya kuwatongoza watanzania na utashi na mienendo yaki-obama obama? Mi nadhani mpaka sasa bado anafasi nzuri yakupata anachotaka.. (kwa mtazamo wangu ni nguvu zakisiasa..na nafasi za juu za uongozi). Lakini vilevile ananafasi nzuri ya kutumia fursa hiyo kuleta aina mpya ya siasa katika Tanzania na Africa kwa ujumla, anafursa yakuwa A great Statesman, kama ataweza kuona zaidi ya kujitajirisha na kujitoa yeye na washirika wake kama ilivyo desturi katika Africa hii.

In other words, can January Makamba escape the trappings of power and resist the temtations which have caught most post-WWII African leaders in the modern era. If he can do this, and I hope atasoma hapa japokuwa naamini anajua vizuri kuhusu haya, basi Tanzania na Africa inaweza kupata matumaini kuwa inawezekana tukawa na viongozi waadilifu. Ukweli ni kwamba CHADEMA ambao kwa sasa wanabeba matumaini ya watu wengi waliopata muamko huu mpya wameonyesha dalili mbili tatu ambazo zinatisha kidogo... Uteuzi wa watu ambao ni mke wa fulani au dadsa wa fulani...haionyeshi strong internal democracy and this is an indication of what is to come under a government led by such a party...Could the Gaddafi-Mubarak-Ali-Museveni-Mugabe-CCM sydrome be a universal pandemic in an African sense? I await evidence to disprove this hypothesis with great anticipation. Chadema has so far failed to provide any assurances of such things never happening again, along with NCCR, TLP, CUF! When will we see internal democracy in these parties?? Ingependeza kuona mfano mzuri kutoka kwa viongozi wapya wa karne hii, kama kina J.Makamba nk.

Time will tell....

KK
 
AKIHUTUBIA BUNGE KWA MARA YA KWANZA ALIJITAMBULISHA KAMA MTU ANAYEFUATA NYAYO ZA OBAMA ,ANASEMA NIMEKAA KWA MUDA BILA KUZUNGUMZA NIKIJIULIZA NIMEFIKAJE HUMU,NA KISHA NIKA KAA KIMYA TENA KUJIULIZA HAWA WATU WOTE WAMEFIKAJE HUKU??

HIZI NI KAULI ZILIZOWAHI KUTUMIWA NA OBAMA WAKATI ALIPOCHAGULIWA KWA MARA YA KWANZA KUWA SENETA WA ILLINOUS

SASA MAKAMBA AMEKUWA AKIJITAMBULISHA KAMA OBAMA KWA SABABU YA MAIGIZO HAYO

huyu ni fisadi tuu na ni mtoto wa kilaza hawezi kuwa kama Great Thinker BARAK OBAMA

Barack is just a stooge,he is not,and I repeat not even a thinker.He is just being used by the illuminati to accomplish their NWO agenda.
 
mmekosa la kuzungumza,umbeya tu!

Sasa nani mmbea hapa sisi tunaojadili mada au huyo anayejifananisha na Obama?
By the way Obama hata huku wazungu wanasema 'This guy is smart' wamejaribu kucompare na marais waliopita lakini huyu kiboko. sasa nashindwa kuelewa kama huyu msambaa ambaye hata shule hakumaliza anataka kujilinganisha na Obama. Alipashwa ajilinganishe na Mugabe itakaa vyema zaidi.
 
AKIHUTUBIA BUNGE KWA MARA YA KWANZA ALIJITAMBULISHA KAMA MTU ANAYEFUATA NYAYO ZA OBAMA ,ANASEMA NIMEKAA KWA MUDA BILA KUZUNGUMZA NIKIJIULIZA NIMEFIKAJE HUMU,NA KISHA NIKA KAA KIMYA TENA KUJIULIZA HAWA WATU WOTE WAMEFIKAJE HUKU??

HIZI NI KAULI ZILIZOWAHI KUTUMIWA NA OBAMA WAKATI ALIPOCHAGULIWA KWA MARA YA KWANZA KUWA SENETA WA ILLINOUS

SASA MAKAMBA AMEKUWA AKIJITAMBULISHA KAMA OBAMA KWA SABABU YA MAIGIZO HAYO

huyu ni fisadi tuu na ni mtoto wa kilaza hawezi kuwa kama Great Thinker BARAK OBAMA

kumbe humu kuna wehu wengi sana ambao wanahitaji msaada wa haraka, sasa hizi logic zisizo na macho wala mkia zinatoka wapi? kama jm ni mtoto wa kilaza, yeye si kilaza na wala hafanani na kichaa wa arusha mjini, mzee wa hamasa...
 
AKIHUTUBIA BUNGE KWA MARA YA KWANZA ALIJITAMBULISHA KAMA MTU ANAYEFUATA NYAYO ZA OBAMA ,ANASEMA NIMEKAA KWA MUDA BILA KUZUNGUMZA NIKIJIULIZA NIMEFIKAJE HUMU,NA KISHA NIKA KAA KIMYA TENA KUJIULIZA HAWA WATU WOTE WAMEFIKAJE HUKU??

HIZI NI KAULI ZILIZOWAHI KUTUMIWA NA OBAMA WAKATI ALIPOCHAGULIWA KWA MARA YA KWANZA KUWA SENETA WA ILLINOUS

SASA MAKAMBA AMEKUWA AKIJITAMBULISHA KAMA OBAMA KWA SABABU YA MAIGIZO HAYO

huyu ni fisadi tuu na ni mtoto wa kilaza hawezi kuwa kama Great Thinker BARAK OBAMA

the man is RIPE.JANUARY FOR PRESIDENTIL ELLECTION 2015.he is da man
 
Hivi sisi wa TZ lini tutaamka? Huyu omeandaliwa ili kumlinda baba yake na mafisadi wenzie. Hivi anaye weza kuongoza Tanzania ni waliopo tu na watoto wao. Ni kuuendekeza ULAFI!
 
What the HELL!?? the guy is NOWHERE near him!!!? What a flippin JOKER! Bongo Tambarare, kuna kina Tigana kina Kareka, Carvalho, Maurinho lol! in that sense the guy can impersonate him!!! clown!!
 
Hivi huu jamaa si yupo kwenye Facebook? Kwanini usimfuate huko ili muendelee libeneke huko huko?
Hili nalo neno..na ukweli sasa huyu nae wa kujadili kweli jamani?!!..au tunataka kutumika 'kumtengenezea platform' kama walivyotumika wahariri fulani kumpigia chapuo la uwaziri...Am just thinking!
 
Mi nadhani pamoja na mambo yote yaliyotokea kisiasa na kiuchumi kati ya Rostam, Richmond, Mzee Shellukindo ( ambae nae hakuwasaidia jimbo lake kwa namna yoyote inayostahili kuwa mfano wa mbunge bora, japokuwa kazi yake katika tume ilikua nzuri...) kuna haja ya kumpa nafasi huyu jamaa tuone atafika wapi na u-OBAMA wake. Kuna aina fulani ya viongozi ambao wanajua 'ku-flirt' na media (Obama, Cameron et al.) huyu jamaa nataka kufwata nyayo zao kisiasa.. Lakini je? Atatumiaje nafasi hizo baada ya kuwatongoza watanzania na utashi na mienendo yaki-obama obama? Mi nadhani mpaka sasa bado anafasi nzuri yakupata anachotaka.. (kwa mtazamo wangu ni nguvu zakisiasa..na nafasi za juu za uongozi). Lakini vilevile ananafasi nzuri ya kutumia fursa hiyo kuleta aina mpya ya siasa katika Tanzania na Africa kwa ujumla, anafursa yakuwa A great Statesman, kama ataweza kuona zaidi ya kujitajirisha na kujitoa yeye na washirika wake kama ilivyo desturi katika Africa hii.

In other words, can January Makamba escape the trappings of power and resist the temtations which have caught most post-WWII African leaders in the modern era. If he can do this, and I hope atasoma hapa japokuwa naamini anajua vizuri kuhusu haya, basi Tanzania na Africa inaweza kupata matumaini kuwa inawezekana tukawa na viongozi waadilifu. Ukweli ni kwamba CHADEMA ambao kwa sasa wanabeba matumaini ya watu wengi waliopata muamko huu mpya wameonyesha dalili mbili tatu ambazo zinatisha kidogo... Uteuzi wa watu ambao ni mke wa fulani au dadsa wa fulani...haionyeshi strong internal democracy and this is an indication of what is to come under a government led by such a party...Could the Gaddafi-Mubarak-Ali-Museveni-Mugabe-CCM sydrome be a universal pandemic in an African sense? I await evidence to disprove this hypothesis with great anticipation. Chadema has so far failed to provide any assurances of such things never happening again, along with NCCR, TLP, CUF! When will we see internal democracy in these parties?? Ingependeza kuona mfano mzuri kutoka kwa viongozi wapya wa karne hii, kama kina J.Makamba nk.

Time will tell....

KK

Unajitahidi sana kutekeleza kazi uliyotumwa kufanya..malipo ni sh. ngapi vile?
 
akitaka kuwa Obama wa Tanzania akae vizuri na wakina Mwakyembe.....so far mpaka sasa hv kijana wangu Mnyika yupo juu....
 
a SMALL FISH IS A FISH:rain:

DAGAA NI JAMII YA SAMAKI WASIOKUA.

WAPO DAGAA WA MAJI CHUMVI NA MAJI BARIDI LAKINI BADO NI DAGAA WALE WALE NA WANA MBIO SANA KTK KUOGELEA KUSHINDA SAMAKI WA KAWAIDA.

TAFAKARI CHUKUA HATUA

eti makamba hajui kujiunga jf nimecheka mpaka basi then eti dagaa na samaki ni specie ile ile ah king phillip cried oh forgod's sake!
 
Mkuu hujamalizia, baada ya kujiuliza hayo maswali ikawaje?........................enhee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom