Mimi nadhani wizara ya nishati na madini ni kitega uchumi muhimu cha ccm hivyo wizara hii haiwezi kuwa huru mpaka watz tuchukue sheria mkononi!
Kwa hakika huyu bwana ni mnafiki! Kwa mtazamo wangu wa ndani, naamini kuwa yeye na baba yake ni zao la mafisadi kwa sababu baba yake alikuwa upande wa kina RACHEL toka zamani japo kwa siri. Naamini pia nafasi aliyonayo leo hii alisaidiwa na kina RACHEL na hata ile ya Uenyekiti wa kamati ya Nishati na Madini bungeni sio coincidence bali ni kazi ya kina RACHEL. Kwa msingi huo naamini baada ya kina RACHEL kuitwa magamba wameona kuwa JK amewageuka na wanapigana nae vita ya chini kwa chini, kwa hiyo zao lao pia akiwepo Makamba mdogo ni lazima waelekeze mashambulizi kwa JK kama ambavyo baadhi ya vyombo vya habari vyenye uhusiano na RACHEL vilivyomgeuka JK na srikali yake! Huo ni mtazamo wangu!
Akina RACHAEL ni nani hao jamani mmeniacha out kabisa hapa!
Then.........endelea Makamba
Kuwa ubinafsishwaji ulipigwa danadana na badala yake IPTL ikaja na kuingia mkataba na Kikwete
sema kuwa kipindi hiki ndicho mikataba yote mibovu ya madini na nishati iliwekwa
Endelea kwa kusema kuwa Kikwete amemuweka Ngeleja pale kuficha uozo
sema yote sasa\
Wameanza kuumbuana wenyewe kwa wenyewe sasa