January Makamba na Umeme na Siasa Tanzania

mbona hatuchukui hatuwa dhidi ya CCM tuna lalamika tu? au ni sisi ni bingwa wa kulalamika bila vitendo?
 
January , January watanzania waliomasikini wanawaangalia hii dhambi itawala nawaambia. siasa siasa ziko wapi hapa twambie ukweli ngeleja ndio serikali yeye ndio anajukumu la kujibu kwanini umeme unakuwa washida hapa kama kashindwa kwani kujiweka pembeni ni ngumu una[pata nini wewe ngeleja? Mimi niwaombe watoto wake wamshauri baba achana na huo uwaziri unajibebea laana kutudanganya kila siku pumbafuuuuuuuuuuuwewe
 
january akumbuke alikotoka au tutamuumbua,hivi anajua jisi tunavyoteseka kwa sababu ya umeme?au kwa vile keshasunda hela za nyamongo?
 
Huyu mtoto asistutanie!!

Kuliweka suala la umeme in historical perspectives ni KUTAKA KUMTOA JK na Serikali yake ili mzigo uende kwa Mwalimu na Mkapa!!
Nimkumbushe tu kwamba Tanzania huko nyuma ilikuwa na viwanda vingi, mfano Tanga (CIC, TIC, Korona za Mkonge, Mbolea, Saruji, Chumvi, Sabuni Mbuni, Chuma, SSW, Tembo Chipboard, etc), Kule Morogoro Moro Shoes (MSC), Sabuni, Mafuta, Nguo, Ngozi, etc...Dar es Salaam ndiyo usiseme!! ...hii ni mifano tu

Zaidi ya 75% ya hivi viwanda vilishakufa wakati huo wa Ubinafsishaji, kwa mantiki hiyo matumizi ya umeme hayakuathirika, na viwanda vilivyokuja kuongezeka vili-replace vile vilivyokuwepo awali na kuuawawa! Hata kama kumekuwa na ongezeko la matumizi ya umeme si kwa kiwango kikubwa namna hiyo....After all mwenyewe ameshasema kulikuja IPTL na umeme mwingine mbadala kuongeza Nguvu!!

Nimkumbushe pia kwamba miaka ya 1980 Tanzania ilipata janga kubwa sana la ukame ambalo halijapata kutokea, still umeme haukuathirika hivyo, KUNA TATIZO SOMEWHERE, asilete siasa!!

SERIKALI LAZIMA IWAJIBIKE KWA HILI!! WATU WAMEJINUFAISHA KWA MATATIZO YA WATANZANIA, HIYO MIRADI YA UMEME HAITUSAIDII WANANCHI, INAWASAIDIA WAKUBWA KUPATA 10%

JANUARY ALIANZA VIZURI, LAKINI SASA NAHISI NA YEYE AMEKULA % YAKE ANAANZA KUGEUZA SHILINGI

HAWA WATU VIPI?? TUMECHOKA...........................
 
He believe hamjui anajua, kwa kuwa anaongea na watu wamataifa makubwa wanakupa michongo anazinyaka na wanatoa matumaini,upofu unaleta picha mbele am the next fitfteen years to come,yaah its ambition,mbaya kuna watu wa generation yako wanajua zaidi yako harafu wanakuchunia kwa kuwaona unavyoangaika,
 
..interesting kwa January kumshutumu Raisi Kikwete.

..in short anasema matatizo yalianza wakati Kikwete ni waziri.

..halafu Kikwete amekuwa Raisi kwa miaka 6 na ameshindwa kutumia nafasi hiyo kutatua matatizo ya umeme nchini, au hata kuteua waziri mwenye uwezo wa kuyatatua.
 
Talking with both ends of his mouth...Siku moja anamsagia Ngeleja (kama ambavyo instahili) kwamba pale Nishati kazi imemshinda, siku chache baadaye anasema wa kulaumiwa kuhusu mgao wa umeme uliokithiri si Ngeleja!!!! Sijui kama hata ana kumbukumbu ya yale anayoongea vinginevyo asingeweza kuwa anatoa kauli zinazopingana.

Mkuu Dark City alisema kweli kabisa kuhusu huyu January.
 
Huyu Bwana naikumbuka kauli yake aliyowahi kuitoa juzijuzi kuwa Katika Wizara ya Nishati na Madini kuna Vacuum leo anabwata vingine mbona hana msimamo huyu Mtu au ndio"SIHASA"
 
I thought he has an independent mind,lo! Anauma na kupulizia.kuwa na msimamo mh.you will earn respect for that...Call a spade a spade!
 
Mimi nadhani wizara ya nishati na madini ni kitega uchumi muhimu cha ccm hivyo wizara hii haiwezi kuwa huru mpaka watz tuchukue sheria mkononi!

Bila shaka
toka IPTL,RICH MONDULI,DOWANS na sasa SIMBI...ON,bado tunahangaika na giza
 
Swala la kusema tatizo lilikuwepo tangu enzi hizo huwa linanikera, inaonesha kabisa hata jitihada zitakazofanywa tatizo litabaki pale pale.
 
Tatizo la nishati linahusiana na uongozi mbovu wa CCM; kama tatizo hili lingekuwa ni moja tu basi tungesema ni "unique situation" lakini sote tunajua ombwe la uongozi liliko CCM linajionesha katika serikali yake na zaidi katika utendaji wa maeneo mbalimbali. Tujiulize ni sekta gani ambayo inafanya vizuri zaidi?

Kilimo?
Elimu?
Viwanda?
Miundombinu?
Usafiri?
Nishati?
Madini?

Ipi ambayo haina malalamiko ya kuchosha?
 
Kwa hakika huyu bwana ni mnafiki! Kwa mtazamo wangu wa ndani, naamini kuwa yeye na baba yake ni zao la mafisadi kwa sababu baba yake alikuwa upande wa kina RACHEL toka zamani japo kwa siri. Naamini pia nafasi aliyonayo leo hii alisaidiwa na kina RACHEL na hata ile ya Uenyekiti wa kamati ya Nishati na Madini bungeni sio coincidence bali ni kazi ya kina RACHEL. Kwa msingi huo naamini baada ya kina RACHEL kuitwa magamba wameona kuwa JK amewageuka na wanapigana nae vita ya chini kwa chini, kwa hiyo zao lao pia akiwepo Makamba mdogo ni lazima waelekeze mashambulizi kwa JK kama ambavyo baadhi ya vyombo vya habari vyenye uhusiano na RACHEL vilivyomgeuka JK na srikali yake! Huo ni mtazamo wangu!

Akina RACHAEL ni nani hao jamani mmeniacha out kabisa hapa!
 
Akina RACHAEL ni nani hao jamani mmeniacha out kabisa hapa!

Join Date : 16th April 2011


Poa haina noma tutakusaidia, kwani umekuwa muwazazi kwa kutaka kujua na kuuliza... RACHEL ni
R- RostaM Aziz
ACH - Andrew Chenge
EL - Edward Lowasa
Nadhani mpaka hapo inasomeka mkuu
 
Then.........endelea Makamba

Kuwa ubinafsishwaji ulipigwa danadana na badala yake IPTL ikaja na kuingia mkataba na Kikwete
sema kuwa kipindi hiki ndicho mikataba yote mibovu ya madini na nishati iliwekwa

Endelea kwa kusema kuwa Kikwete amemuweka Ngeleja pale kuficha uozo

sema yote sasa\

Hata Marekani wanamlaumu Obama kwa uozo aliofanya George W Bush, so sioni kitu kipya kwa Ngeleja kulaumiwa sasa. Huyu January sijui amesoma wapi, yaani leo hii kama mtoto wako hapendi kwenda shule, usimlaumu, umlaumu babu yake ambaye hakwenda shule. This is so rubbish January Makamba, elimu yako ni ndogo. Ngeleja analaumiwa kwa kuwa toka amekuwa Waziri hajafanya lolote, ni porojo tu. Mbunge aliyemlaumu alisema exactly that!!!JK alimuweka pale I believe kwa kuwa alijua ni mbunifu na angeweza kuturn around trend ya nchi kuwa gizani, he has failed to do so, and he was told just that. Sasa kumlinda on pretext ya historia itasaidia nini. So hata Janaury atamsingizia Shelukindo aliyekuwa mwenyekiti wa kamati yake in his failure in future, rubbish, sijui hawa watu wamesoma wapi. Hatuangalii who was in charge, tunaangalai who is incharge!-- now and huyo ndiye wa kubeba mzigo. Obama for example he is taking punches left and right for mistakes made by George W, but humsikii akifungua mdomo hata siku moja kusema ah! msinilaumu hili si langu, ni la aliyenitangulia!! Crap!!! Ngeleja knew size ya viatu alivyokuwa anakaribai kuvivaa alipoteuliwa, he could have told mzee JK kuwa Sir, this is too big for me, i dare dont!! AND IF MAY PLEASES YOU TO APPOINT SOMEBODY ELSE!!!!

Ngeleja angeacha utoto, na kupenda anasa za mwili akafocus kwenye critical issues leo hii tungekuwa mbali sana kuhusu suala la umeme. Kiburi na majigambo na utoto ndio vinamfanya kuwa the worst Energy Minister we have ever had in URT. Maokola Majogo was better than him

Umeme ni suala la usalama wa Taifa, inasikitisha kuona linachezewa chezewa tu. Tunawapa Wageni kutuzalishia umeme, that is very wrong, siku tukikosana na China, watasema na umeme hatuzalishi, seriously ndani ya serkali lazima kuwe na watu wenye akili kupita zangu. Kwa nini Kiwira haikupewa NSSF, ambayo ni shirika la serkali kuzalisha umeme, why China? Hawa Wachina kweli Tanzania imeshajua janja yao, waulize mambo wanafanya huko Zambia, ukoloni Africa unarudi na Chinese watatawala Africa, juzi juzi walipiga polisi Bababti, na bado. Suala nyeti la usalama wa taifa kama umeme linapashwa liwe chini ya mamlaka za serekali, si kitu chepesi cha kukibinafsisha tu. Mbona January hakumlaumu Mkapa aliyeleta Net Group ya Shemeji zake kina Maro? Net Group ndio waliocripple Tanesco, I was there na ninajua ninachosema. Hawakuwekeza hata laptop moja, let be serious kwenye hii issue wana jamii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom